Naona Adidas wametubwaga, Kuna brand kibao kama puma, new Balance, n.k, wote wakatae kudhamini?
Ha ha ha huna hoja!,na hiyo kola ya rangi ya kijani ni kitu gani?..
Italy? Umebugi meni! Huwezi kujenga hoja kwa kutumia mfano mmoja tu.
Lakini Kama tunawalipa keshi haiwezekani?..
Jamal Malinzi hana akili ni mpuuzi mwingine aliyekuja kuharibu na kuua kabisa soka la TanzaniaHiv malinzi ana akili kweli huyu?
Jamal Malinzi aachie ngazi TFF, football haikuwi kwa ndoto.
Football ni science na si ndoto. Ili tuendelee kwanza tuache ujinga wa kuingia TFF na kufanya pale ndiyo mahala pa kuvuna utajiri.
Hii mambo ya jezi mpya, sijuwi nini kipya yote ni matokeo ya kujitafutia njia za ulaji. Kama mnabisha muulizeni Jamal Malinzi aseme gharama ya designer na gharama ya kutengeneza na kununuwa hizo jezi.
cc Bishanga
Jameni, tukifumze kupenda basi, mbona tunaponda sana??
Stars kufanya vizuri ni LAZIMA tuipende? ndio timu yetu.
Abantu tukimfumze??
Jamal Malinzi aachie ngazi TFF, football haikuwi kwa ndoto.
Football ni science na si ndoto. Ili tuendelee kwanza tuache ujinga wa kuingia TFF na kufanya pale ndiyo mahala pa kuvuna utajiri.
Hii mambo ya jezi mpya, sijuwi nini kipya yote ni matokeo ya kujitafutia njia za ulaji. Kama mnabisha muulizeni Jamal Malinzi aseme gharama ya designer na gharama ya kutengeneza na kununuwa hizo jezi.
cc Bishanga
Tatizo ni Malinzi au mfumo mzima uliotumika kumuweka kwenye hiyo nafasi? Kwa sababu anaweza kuachia ngazi leo, akachaguliwa mwingine hata m'bovu zaidi.
Tatizo kubwa ni malinzi.....
Tenga was doing ingawa kulikua na kasoro...But he was doing football
This guy is doing politics
Plus Ukabila