Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Hatushindi kwa kuwa hatuna jezi nzuri na jina LA kutisha! Hii ni zaidi ya maajabu saba ya dunia.
 
Igabiro

Hiyo bland ndiyo nini? maana watu wa football nyinyi pengine mna lugha zenu.
 
Last edited by a moderator:
Jamal Malinzi aachie ngazi TFF, football haikuwi kwa ndoto.

Football ni science na si ndoto. Ili tuendelee kwanza tuache ujinga wa kuingia TFF na kufanya pale ndiyo mahala pa kuvuna utajiri.

Hii mambo ya jezi mpya, sijuwi nini kipya yote ni matokeo ya kujitafutia njia za ulaji. Kama mnabisha muulizeni Jamal Malinzi aseme gharama ya designer na gharama ya kutengeneza na kununuwa hizo jezi.

cc Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Nadhani tatizo sio jezi nyeupe kama baadhi ya wadau wanavyohoji. Jezi nyeupe ni away Jersey na nyeupe huwa inavaliwa na taifa lolote (pia nyeupe ni mchanganyiko wa rangi zote-kisayansi). Ikitokea Taifa Stars ikakutana na timu yenye rangi kama zao, basi itadidi wavae hiyo nyeupe. Kama una kumbukumbu nzuri timu nyingi za Taifa kwenye Kombe la Dunia zilishawahi vaa jezi nyeupe angalau mara moja.
 
Attachments

  • Tanzania.png
    Tanzania.png
    2.7 KB · Views: 256
Nasubiri wimbo wa taifa nao ubadilishwe ili Stars iingie kombe la dunia kwa kasi zaidi!
 
Jamal Malinzi aachie ngazi TFF, football haikuwi kwa ndoto.

Football ni science na si ndoto. Ili tuendelee kwanza tuache ujinga wa kuingia TFF na kufanya pale ndiyo mahala pa kuvuna utajiri.

Hii mambo ya jezi mpya, sijuwi nini kipya yote ni matokeo ya kujitafutia njia za ulaji. Kama mnabisha muulizeni Jamal Malinzi aseme gharama ya designer na gharama ya kutengeneza na kununuwa hizo jezi.

cc Bishanga

Tatizo ni Malinzi au mfumo mzima uliotumika kumuweka kwenye hiyo nafasi? Kwa sababu anaweza kuachia ngazi leo, akachaguliwa mwingine hata m'bovu zaidi.
 
Ishu ya msingi kujiuliza

Je jezi ni Priority?

Inabidi ifikie kipindi sasa watanzania tuheshimiane...MNtu anaondoka huko sijui kala maharage ya wapiii...anaaanza kutumia pesa zetu kwa mambo yasiyo ya msingi.
Jamal Malinzi you must be accountable kwa kudorora na kufa kwa mpira Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni Malinzi au mfumo mzima uliotumika kumuweka kwenye hiyo nafasi? Kwa sababu anaweza kuachia ngazi leo, akachaguliwa mwingine hata m'bovu zaidi.

Tatizo kubwa ni malinzi.....

Tenga was doing ingawa kulikua na kasoro...But he was doing football

This guy is doing politics

Plus Ukabila
 
Ok Boss, tuseme hizi tuhuma ni za ukweli na Malinzi anashinikizwa kujiuzulu leo hii na anatii, nini kitatuhakikishia hapatikani mwingine kama au zaidi yake?
 
Back
Top Bottom