Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

hommie kwenu ni kwenu tu hata kama hakupikwi chai..

kah jamani kwanini sisi tu? Tumekubali kuwa Taifa star ni kichwa cha mwendawazimu hapo sibishi, Sasa na mashabiki nao ambao ni sisi tena nasi pia watufanye wendawazimu ? kuna siku wataleta jezi za Batiki we suburi
 
Jamal Malinzi

Hizo jezi kitambaa kilichotumika kinaonesha hakipumuwi, wachezaji baada ya dakika kumi za kukimbizana na mpira watakuwa kama wako kwenye oven.

Jamani hivi vitu siku hizi vina sayansi yake si kukurupuka tu. Tazama huyu mchezaji kisha roa jasho kwa kuzivaa tu, bado hata hajaingia nazo kiwanjani. Mtakuja kuniambia wachezaji watavyolalamika na kuchoka haraka.

3.jpg

cc Bishanga

duh! T-shirt kama shati la kitenge? Kweli tz kazi tunayo
 
Last edited by a moderator:
Jamani huwezi kuwaridhisha watu wote .kama ingekuwa za ghali za juu watu wengeongea tu aaa bei iko juu.aa bora hela zilizotengeneza jezi tungeboresha mpira.hata ufanye nini tanzania hii haina shukrani .malonzi fanya yako usingoje shukrani.huwezi pata kwa vichwa ngumu hawa
 
kah jamani kwanini sisi tu? Tumekubali kuwa Taifa star ni kichwa cha mwendawazimu hapo sibishi, Sasa na mashabiki nao ambao ni sisi tena nasi pia watufanye wendawazimu ? kuna siku wataleta jezi za Batiki we suburi

nyie ndo hua hamlipi viingilio mnaingia ndani ya ndoo za lita 20 zile zinafungwa kamba then waliopo uwanjani wanavuta ile kamba mpaka ndani ya uwanja halafu hapa mnalalamikia jezi za ovyo,,, poa bana endelea kuvaa ya madrid but hata ikiletwa batiki still ni tanzaniano
 
Jamal Malinzi

Hizo jezi kitambaa kilichotumika kinaonesha hakipumuwi, wachezaji baada ya dakika kumi za kukimbizana na mpira watakuwa kama wako kwenye oven.

Jamani hivi vitu siku hizi vina sayansi yake si kukurupuka tu. Tazama huyu mchezaji kisha roa jasho kwa kuzivaa tu, bado hata hajaingia nazo kiwanjani. Mtakuja kuniambia wachezaji watavyolalamika na kuchoka haraka.

3.jpg

cc Bishanga

Masikini huyo jamaa hata kupumua hawezi. Sijui wamemlipa shilingi ngapi kwa hiyo adhabu ya joto
 
Last edited by a moderator:
Sisi tunataka ushindi tu, hata kama Stars wakivaa kaniki, ikiwa watashinda zitakuwa poa tu.

Vv
 
Hivi hizi jezi ni za kampuni gani? Adidas uhlsport nike puma au?? mbona hazina logo yoyote

Jezi za taifa zinatengenezwa kienyeji sana. Walishindwaje kuleta kampun kubwa kutengeneza jezi?
 
jadilini soka co jezi bhana! km jez zingekua znachangia ushindi cmba na yanga wangestep further coz ndo wabadilixhaji wa brand za jezi zao tena wakiwa na haohao kilimanjaro!
 
Back
Top Bottom