Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wakati huu fedha inapotea, mahitaji(vitu) mengi yanaadimika na yatazidi kuadimika.
Ukijua kuzichezesha vizuri karata zako wakati huu unatoka fasta kimsisha.
Huu wakati ni wa kutoka kimaisha ingawa huu ndio wakati ambao wengi wataumia sana.