Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Fursa zipo za kutosha tatizo mtajiWakati huu fedha inapotea, mahitaji(vitu) mengi yanaadimika na yatazidi kuadimika.
Ukijua kuzichezesha vizuri karata zako wakati huu unatoka fasta kimsisha.
Huu wakati ni wa kutoka kimaisha ingawa huu ndio wakati ambao wengi wataumia sana.
Maeneo gani mkuu?Kweli kabisa mkuu. Nimekutana na mtu anashida kweli kweli ameniuzia uwanja wa 30 *30 kwa 2M tena ni Mby mjini kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa zipo za kutosha tatizo mtaji
Jr[emoji769]