Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Ufisasi, upendeleo na ubwanyenye umekuwa kama sasa ni sehemu ya maisha ya CCM. Na hii ni sababu hakijawahi kuondolewa madarakani kama chama tawala.
Ingetokea tu siku moja CCM ikashindwa uchaguzi na wale wanaoshutumiwa kuiba mali za umma kwa mgongo wa CcM wakafungwa basi kuna baadhi ya wanaCCM wangekuwa wamepata somo.
Lakini jibu juu ya hiki kilio ni katiba mpya.
Tupake katiba amabayo waziri atakuwa anaajiriwa na wananchi na akizingua anafutwa kazi na wananchi na kufikishwa mahakamani.
Tupate Katiba ambayo itazuia dhuruma ya kila namna na mahakama ndio iwe mtoa haki. Mahakama iwe chombo huru.
WanaCCM ndio mpiganie ile rasimu ya warioba ipite iwe katiba ili mabadiliko yaje na ndio itakuwa suluhu ya matatizo ya taifa letu.