Watanzania bwana! Tulishaona bila shule maisha hayaendi....wako walioishia la 7 na form 4 na ndio matajiri na wamewaajiri wenye madegree yao π π π cha ajabu hawa wasomi mpaka wanastaafu hawana gari wala nyumba..
Watanzania bwana! Tulishaona bila shule maisha hayaendi....wako walioishia la 7 na form 4 na ndio matajiri na wamewaajiri wenye madegree yao [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu hawa wasomi mpaka wanastaafu hawana gari wala nyumba..