kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Rudia kunisoma nilichoandika mimi sina habari na timu zenu za kariakoo!Kabla ya makombe, mna medali za CAF?
Itamrudisha juu ya Yanga.Hicho kiswahili maana yake nini?View attachment 3102882View attachment 3102880
Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
Kwa sasa Yanga iko juu kwa sababu tayari imeshafuzu makundiItamrudisha juu ya Yanga.Hicho kiswahili maana yake nini?
Mkuu, ubishi wa hivi ni kulimbikiza ujinga, hiyo namba unaizidisha mara tano.0.5✅
Ungekuwa na welevu ungejibu kama mleta mada alivyojibu kuliko kuleta ujuaji bila kuja na suluhu, na wewe unaishia kuwa sehemu ya ujinga uliolimbikizwa.Mkuu, ubishi wa hivi ni kulimbikiza ujinga, hiyo namba unaizidisha mara tano.
Ova
Bado unaendeleza ubishi? Sawa ni 0.5 baki na hesabu hiyo ya peke yako.Ungekuwa na welevu ungejibu kama mleta mada alivyojibu kuliko kuleta ujuaji bila kuja na suluhu, na wewe unaishia kuwa sehemu ya ujinga uliolimbikizwa.
Kwa hiyo umeamua kubisha bila kutoa solution? Haya endelea kubaki na vifusi vyako.Bado unaendeleza ubishi? Sawa ni 0.5 baki na hesabu hiyo ya peke yako.
Ova