Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

Mkuu, ubishi wa hivi ni kulimbikiza ujinga, hiyo namba unaizidisha mara tano.

Ova
Ungekuwa na welevu ungejibu kama mleta mada alivyojibu kuliko kuleta ujuaji bila kuja na suluhu, na wewe unaishia kuwa sehemu ya ujinga uliolimbikizwa.
 
Ungekuwa na welevu ungejibu kama mleta mada alivyojibu kuliko kuleta ujuaji bila kuja na suluhu, na wewe unaishia kuwa sehemu ya ujinga uliolimbikizwa.
Bado unaendeleza ubishi? Sawa ni 0.5 baki na hesabu hiyo ya peke yako.

Ova
 
Bado unaendeleza ubishi? Sawa ni 0.5 baki na hesabu hiyo ya peke yako.

Ova
Kwa hiyo umeamua kubisha bila kutoa solution? Haya endelea kubaki na vifusi vyako.
Ila mleta mada alishanielewa ni wapi nilimpinga na akajazia pale ambapo alipaacha kwa kuongezea formular. Hicho tu ndiyo nilichokihitaji, ndiyo maana unaona yeye hatkuendelea tena baada ya kunijibu
 
Back
Top Bottom