Kapumpuli JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 2,040 Reaction score 2,674 Oct 7, 2024 #101 mmteule said: Seems hakuna uhai huko. Picha zote 3 hakuna hata panzi, Mti, Majani nn. Hakuna Maji, ni dhahiri pako mithili ya Jangwa Click to expand... Hakika.... Panaonekana ni jangwa tupu....
mmteule said: Seems hakuna uhai huko. Picha zote 3 hakuna hata panzi, Mti, Majani nn. Hakuna Maji, ni dhahiri pako mithili ya Jangwa Click to expand... Hakika.... Panaonekana ni jangwa tupu....
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Oct 8, 2024 #102 Kapumpuli said: Hakika.... Panaonekana ni jangwa tupu.... Click to expand... Wale tusioamini Sayansi tuanze kuandaa chanzo cha Uumbaji ndani ya Mars
Kapumpuli said: Hakika.... Panaonekana ni jangwa tupu.... Click to expand... Wale tusioamini Sayansi tuanze kuandaa chanzo cha Uumbaji ndani ya Mars
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 8, 2024 #103 SweetyCandy said: Sasa babu tukiondoka kwenye hii dunia tunaenda wapi Click to expand... Tunaenda kuishi kwenye sayari ya Mars! 😇
SweetyCandy said: Sasa babu tukiondoka kwenye hii dunia tunaenda wapi Click to expand... Tunaenda kuishi kwenye sayari ya Mars! 😇
SweetyCandy JF-Expert Member Joined Sep 17, 2022 Posts 3,109 Reaction score 6,323 Oct 8, 2024 #104 Tate Mkuu said: Tunaenda kuishi kwenye sayari ya Mars! 😇 Click to expand... Babu hakuna oxygen na hali yako hii
Tate Mkuu said: Tunaenda kuishi kwenye sayari ya Mars! 😇 Click to expand... Babu hakuna oxygen na hali yako hii