maji yapo chini ya ardhi, na kuna barafu kwenye poles zake.
oxygen kidogo sana.
lakini kinadharia inawezekana kubadilisha sayari iwe na uwezo wa kuhifadhi viumbe hai(terraforming) ila hiyo teknolojia hatujaifikia
na nimesikia wanasayansi wanasema venus itakuwa rahisi zaidi kuterraform kuliko mars, sijui kwanini
inawezekana kabisa ikifika mahali binadamu tukapata teknolojia ya kusafiri kwenye tupu, tutajaribu kumiliki sayari zingine,
na isitoshe vitisho vya mabadiliko ya tabia nchi, malighafi kuisha vikatusukuma