Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

Njia ya kwenda huko ni ipi ndugu yangu wanafikaje fikaje huko kupitia baharin au angan

Mwenye kujua anijuze

Nimekumbuka mbali sana yesu akisema mimi ni njia ya uzima na ufufuo anifataye hatapotea kamwe

Kumbe mbila njia huwezi fika unakokwenda na hao jamaa nasa wanatumia njia gan kufika huko
Mkuu kutokana na huu ujinga wenu tulio fika hatuwezi waambia ,kwa sababu za imani zenu za kijinga
 
Kuna maji?kuna oxygen?
maji yapo chini ya ardhi, na kuna barafu kwenye poles zake.

oxygen kidogo sana.

lakini kinadharia inawezekana kubadilisha sayari iwe na uwezo wa kuhifadhi viumbe hai(terraforming) ila hiyo teknolojia hatujaifikia

na nimesikia wanasayansi wanasema venus itakuwa rahisi zaidi kuterraform kuliko mars, sijui kwanini

inawezekana kabisa ikifika mahali binadamu tukapata teknolojia ya kusafiri kwenye tupu, tutajaribu kumiliki sayari zingine,
na isitoshe vitisho vya mabadiliko ya tabia nchi, malighafi kuisha vikatusukuma kufikia huko
 
NASA wametoa picha mjongeo ya sayari ya Mars, yaani ni kama inafanana na dunia yetu, nahisi huko mbele kuna watu wataenda kuishi huko.

View attachment 3117893
View attachment 3117895
View attachment 3117899

Source: science.nasa.gov
Wazungu kuwafikia ngumu sasa imagine hapo kuna madhahabu gas na mafuta then wao ndio wa kwanza kufika kuna nini tena unafikiri..

Wanaweza kukuta reserves ya dhahabu ukubwa wa bara la africa yote na wasiseme kenge wale wamejifunza balaa lililotokea mara baada ya wa portugese kulopoka africa kuna mali isiyo kifani. Bara zima la ulaya lilitaka share huku africa.
 
maji yapo chini ya ardhi, na kuna barafu kwenye poles zake.

oxygen kidogo sana.

lakini kinadharia inawezekana kubadilisha sayari iwe na uwezo wa kuhifadhi viumbe hai(terraforming) ila hiyo teknolojia hatujaifikia

na nimesikia wanasayansi wanasema venus itakuwa rahisi zaidi kuterraform kuliko mars, sijui kwanini

inawezekana kabisa ikifika mahali binadamu tukapata teknolojia ya kusafiri kwenye tupu, tutajaribu kumiliki sayari zingine,
na isitoshe vitisho vya mabadiliko ya tabia nchi, malighafi kuisha vikatusukuma kufikia huko
Ikiwa dunia tumeikuta wataweza vipi kuitengeneza Mars?
 
Njia ya kwenda huko ni ipi ndugu yangu wanafikaje fikaje huko kupitia baharin au angan

Mwenye kujua anijuze

Nimekumbuka mbali sana yesu akisema mimi ni njia ya uzima na ufufuo anifataye hatapotea kamwe

Kumbe mbila njia huwezi fika unakokwenda na hao jamaa nasa wanatumia njia gan kufika huko
😅 Njia zitakuja tu..

Beira nimefurahi kuona bado umooooo.. Muda mrefu sijakusoma. Lazima wengi wamemisi pia post zako 🤗
 
Njia ya kwenda huko ni ipi ndugu yangu wanafikaje fikaje huko kupitia baharin au angan

Mwenye kujua anijuze

Nimekumbuka mbali sana yesu akisema mimi ni njia ya uzima na ufufuo anifataye hatapotea kamwe

Kumbe mbila njia huwezi fika unakokwenda na hao jamaa nasa wanatumia njia gan kufika huko
kupitia tupu

ukitoka nje ya sayari, kwa kutoka nje ya anga basi unaingia kwenye tupu

umbali kutokea hapa mpaka mars ni km milioni 200+ japo inaweza kuwa kidogo au zaidi kwasababu ya kulizunguka jua

hapo ni roketi kubwa zitatumika kupeleka watu, marekani wanataka kufanya hiyo kazi wanasema itachukua miaka mitatu

ulimwengu ni mkubwa sana, kwenda tu hapo kwenye mwezi ilichukua zaidi ya siku 3, bila kuhesabia kurudi
 
😅 Njia zitakuja tu..

Beira nimefurahi kuona bado umooooo.. Muda mrefu sijakusoma. Lazima wenfi wamemisi pia post zako 🤗
Nipo rafiki yangu lakin ni ukweli kuna kipindi kilipita kimiya kama miaka 5 bila kuingia humu jamvin

Kitu kingine ndo hivyo tuna kua umri nao unasogea hivyo ya kale tunayaacha tunaanza mapya

Uko poa lakin dada yangu
 
Asante sana bro balikiwa sana
kupitia tupu

ukitoka nje ya sayari, kwa kutoka nje ya anga basi unaingia kwenye tupu

umbali kutokea hapa mpaka mars ni km milioni 200+ japo inaweza kuwa kidogo au zaidi kwasababu ya kulizunguka jua

hapo ni roketi kubwa zitatumika kupeleka watu, marekani wanataka kufanya hiyo kazi wanasema itachukua miaka mitatu

ulimwengu ni mkubwa sana, kwenda tu hapo kwenye mwezi ilichukua zaidi ya siku 3, bila kuhesabia kurudi
Dunia inaenda kasi watundu ni wengi sana MUNGU AENDELEE KUWABALIKI WAZUNGU
 
Back
Top Bottom