Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

Sasa uko ndio sehemu nzuri ya kwenda kutuliza akili na kula maisha,nashauri wale visirani na machawa marufuku kuingia sayari hii mpya,nikifika uko chakwanza najitangazia uraisi wa nchi wa kudumu
 
Njia ya kwenda huko ni ipi ndugu yangu wanafikaje fikaje huko kupitia baharin au angan

Mwenye kujua anijuze

Nimekumbuka mbali sana yesu akisema mimi ni njia ya uzima na ufufuo anifataye hatapotea kamwe

Kumbe mbila njia huwezi fika unakokwenda na hao jamaa nasa wanatumia njia gan kufika huko
Nasikia Etihad na Ethiopia Airline wanafanya ruti za moja kwa moja japo bei ndio kipengele ujipange.
 
Nipo rafiki yangu lakin ni ukweli kuna kipindi kilipita kimiya kama miaka 5 bila kuingia humu jamvin

Kitu kingine ndo hivyo tuna kua umri nao unasogea hivyo ya kale tunayaacha tunaanza mapya

Uko poa lakin dada yangu

Nipo poa Amina 🤲🏽
Hakika kukua tunakua 😊
Nakutakia kila la kheri katika yote maishani. 😍🤗
 
maji yapo chini ya ardhi, na kuna barafu kwenye poles zake.

oxygen kidogo sana.

lakini kinadharia inawezekana kubadilisha sayari iwe na uwezo wa kuhifadhi viumbe hai(terraforming) ila hiyo teknolojia hatujaifikia

na nimesikia wanasayansi wanasema venus itakuwa rahisi zaidi kuterraform kuliko mars, sijui kwanini

inawezekana kabisa ikifika mahali binadamu tukapata teknolojia ya kusafiri kwenye tupu, tutajaribu kumiliki sayari zingine,
na isitoshe vitisho vya mabadiliko ya tabia nchi, malighafi kuisha vikatusukuma kufikia huko
venus sahau too hot there!
 
Back
Top Bottom