Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Nadhani unatania!Kweli wewe ni mjinga. Unauliza kama kuna maji na oxygen badala ya kuuliza pombe? Binadamu anaweza kuishi kwa maji na oxygen bila pombe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani unatania!Kweli wewe ni mjinga. Unauliza kama kuna maji na oxygen badala ya kuuliza pombe? Binadamu anaweza kuishi kwa maji na oxygen bila pombe?
Nitakuwa mjinga, lakini narudia tena haitawezekana kuishi nje ya dunia hii.Watakaokuja kusoma hii comment mwaka 2100 watasema Babu Yao alikuwa mjinga sana
Kwa utafiti upi uliofanya kuja na hii conclusion mkuu?Dunia ndiyo sayari pekee kwenye universe inayosupport uhai acha kuandika ujinga wako hapa
Kuna wakati wanapambambania vitu visivyowezekana.Kila kigu kinaanza na idea mkuu. Na science kila kitu hua ni mzengwe mpaka kifanikiwe, acha wanaopambania wapambanie
Mwaka gani? isije ikawa na wewe ni wazee wa kupiga kamba.Mwaka 1207 pale Gerezani Kariakoo zilipigwa ngumi kisa kuna ubishi haiwezekani binadamu aliyepo Mzizima na Songea wakawasiliana papo kwa papo na wakaelewana.
Ule ugomvi ulikua mkubwa sana.
DUnia huru hii. Kila kitu kinaanza na wazo. Wanasayansi washavuka stage hiyo ya kusema haiwezekani kabla ya kujaribu.Kuna wakati wanapambambania vitu visivyowezekana.
Utafiti ulishafanywaKwa utafiti upi uliofanya kuja na hii conclusion mkuu?
Hakuna ambaye ashawahi kwenda huko ni porojo tu zimejaa.Toka waanze kwenda huko hawajawahi kupanda mti?
Nimeipenda hiiWanaweza kukuta reserves ya dhahabu ukubwa wa bara la africa yote na wasiseme kenge wale..
🤣🤣Wale jamaa wa kiluvya kibaha viwanja company wasijekuona huu uzi.
Kama hakuna miti then Oxgen itakuwa hakuna!huku ndo kwakwenda kuwai viwanja aise.
Nawai viwanja vya kutosha uko mbeleni mkija na wapiga bei za kutosha.
Chembe chembe za maji zipo.Kuna maji?kuna oxygen?
Vile vile asilimia Kubwa udongo wake una madini chuma (Iron - Fe).mars 95%ni CO2 ,
0.017Oxygen
manake hapo ni kuotesha miti na mimea oxygen ipatikane watu washike viwanja chapchap
Almost US $ 1m. Ilishazungumzwa miaka ya nyuma kuhusu kiwango hicho Cha nauli. Sijui Kwa Sasa.nauli ya kwenda huko ni Billioni ngapi
Sasa babu tukiondoka kwenye hii dunia tunaenda wapiNgoja nimshawishi kwanza SweetyCandy. Akikubali tu, naenda naye kuanzisha maisha. Hata tukiishi kwa kufanya vibarua, siyo mbaya. Muhimu tu tuondoke kwenye hii dunia iliyojaa kila aina ya uovu.
According to ESA, Mars' atmosphere is composed of 95.32% carbon dioxide, 2.7% nitrogen, 1.6% argon and 0.13% oxygen. The atmospheric pressure at the surface is 6.35 mbar which is over 100 times less Earth's. Humans therefore cannot breathe Martian air.Kuna maji?kuna oxygen?
KWa akili hizi hata Visa tu huwezi kupewa.Sasa uko ndio sehemu nzuri ya kwenda kutuliza akili na kula maisha,nashauri wale visirani na machawa marufuku kuingia sayari hii mpya,nikifika uko chakwanza najitangazia uraisi wa nchi wa kudumu