Huu ndiyo mwisho wa Kikosi cha Rodwan cha Hezbollah

Huu ndiyo mwisho wa Kikosi cha Rodwan cha Hezbollah

Jeshi la Israeli limeunda kile ambacho wengi wanakiita fursa ya mara moja katika kizazi kimoja kusini mwa Lebanon.

Baada ya Hezbollah kukusanya idadi kubwa ya kikosi chake cha juu cha Radwan karibu na mpaka, Israeli ilichukua hatua kwa uamuzi: kukata vivuko vya Mto Litani, kutenga uwanja mzima wa vita, na kuwazunguka mamia kwa maelfu ya wapiganaji hatari zaidi wa Hezbollah.

Hii si operesheni nyingine tu. Hii inalenga kikosi kikuu cha mapigano cha Hezbollah.

Wakati huo huo, eneo hilo limeondolewa raia, na kugeuza uwanja wa vita kuwa eneo la mapigano linalodhibitiwa kwa ulinzi wa drones usiku na mchana .
Madaraja yote ya mto Litani yameharibiwa au kuwekwa chini ya uangalizi kamili wa drones huku zikifunga njia za kutoroka na kuzuia magaidi hao kuleta wa misaada.

Kutoka magharibi na mashariki, vikosi vya Israeli vinafanya doria kuzuia kenge yeyote asitake salama eneo hilo!!!.

Sasa, wale waliokuja kushambulia Israeli wamenaswa na wana subiri Kifo tu hakuna namna ya kutoka hapo.

(Maariv)

Maelezo yako yanaonekana kuwa na msisitizo mkubwa sana wa upande mmoja bila kuonesha picha kamili ya hali halisi.

Ni kweli kwamba kuna uwezekano wa operesheni kali kufanyika kusini mwa Lebanon, lakini kauli za ‘wamenaswa na wanasubiri kifo’ zinafanana zaidi na lugha ya propaganda kuliko uchambuzi wa kijeshi.

Kwa kawaida, makundi kama Hezbollah yana uzoefu mkubwa wa vita vya aina ya guerrilla na si rahisi kuzingirwa kwa namna ya kuondoa kabisa uwezo wa kujinasua. Pia, taarifa za aina hii zinahitaji kuthibitishwa kutoka vyanzo zaidi ya kimoja ili kupata uhalisia wake.

Pengine ni sahihi zaidi kuangalia tukio hili kwa tahadhari na kusubiri taarifa huru na kamili kabla ya kufikia hitimisho la mwisho.

Jifunze kuangalia facts na sio kuchagua upande.
 
Wewe subiri utaiona!!!

Kumbuka madaraja yote yamevunjwa na kuna ulinzi makali kulinda na kuzuia yeyote atakayetaka kutoka kwenye Mwingiro huo!!

Kijeshi hawapigani vita kutumia uzoefu wakishakuwahi huna namna uzoefu wako haina maana yoyote!!!

Umesema nimechagua upande mbona wewe nawe umeshachagua upande? Kwangu ni kosa na kwako ni halali?
 
Nilikuwa sijui Kama wewe ni ***** hivyo hutaona najibishana na wewe tena Maana Mimi sijibishani na Machoko!!
Mwanaume kudhihaki ndevu ni dalili ya uchoko,Mwanaume rijali hawezi kudhihaki ndevu coz ndevu ni mojawapo ya dalili ya Mwanaume,huko Israel ndio machoko yamejaa,bila shaka hata wewe umesha poswa tayari,

Wewe huna uwezo wa kujibishana na mimi coz huna ujualo,tafuta kazi ya kufanya,haya manyuzi ya kijinga jinga kujifanya Myahudi mweusi wa Nzega hayawezi kukutoa kwenye umasikini unaokutesa kila kukicha,
Get a life.
 
Wewe subiri utaiona!!!

Kumbuka madaraja yote yamevunjwa na kuna ulinzi makali kulinda na kuzuia yeyote atakayetaka kutoka kwenye Mwingiro huo!!

Kijeshi hawapigani vita kutumia uzoefu wakishakuwahi huna namna uzoefu wako haina maana yoyote!!!

Umesema nimechagua upande mbona wewe nawe umeshachagua upande? Kwangu ni kosa na kwako ni halali?

Kusema ‘subiri utaiona’ sio jibu la hoja, kwa sababu katika mjadala anayetoa taarifa ndiye anatakiwa kuonyesha ushahidi wake mapema. Bila hivyo, inabaki kuwa ni madai tu.

Kuhusu suala la kuzingirwa, historia ya vita inaonyesha kuwa makundi yanayotumia mbinu za guerrilla kama Hezbollah hayategemei njia za wazi pekee kama madaraja.

Mara nyingi huwa na njia mbadala kama tunnels, maeneo ya kujificha na uwezo wa kujipanga upya hata katika mazingira magumu.

Pia hoja yangu haikuwa kuchagua upande, bali kuhoji uhakika wa taarifa ulizoweka. Ku-question source au uthibitisho wa jambo si kuchagua upande, ni kutafuta uhalisia wa taarifa yenyewe.

Kwa hiyo kama kuna ushahidi zaidi wa hilo tukio, itasaidia zaidi kuuweka wazi ili mjadala uwe na msingi wa facts badala ya kauli za kusubiri.

Karibu
 
Mwanaume kudhihaki ndevu ni dalili ya uchoko,Mwanaume rijali hawezi kudhihaki ndevu coz ndevu ni mojawapo ya dalili ya Mwanaume,huko Israel ndio machoko yamejaa,bila shaka hata wewe umesha poswa tayari,

Wewe huna uwezo wa kujibishana na mimi coz huna ujualo,tafuta kazi ya kufanya,haya manyuzi ya kijinga jinga kujifanya Myahudi mweusi wa Nzega hayawezi kukutoa kwenye umasikini unaokutesa kila kukicha,
Get a life.

Mkuu, hii ni vita kamili 🔥
 
Back
Top Bottom