Jeshi la Israeli limeunda kile ambacho wengi wanakiita fursa ya mara moja katika kizazi kimoja kusini mwa Lebanon.
Baada ya Hezbollah kukusanya idadi kubwa ya kikosi chake cha juu cha Radwan karibu na mpaka, Israeli ilichukua hatua kwa uamuzi: kukata vivuko vya Mto Litani, kutenga uwanja mzima wa vita, na kuwazunguka mamia kwa maelfu ya wapiganaji hatari zaidi wa Hezbollah.
Hii si operesheni nyingine tu. Hii inalenga kikosi kikuu cha mapigano cha Hezbollah.
Wakati huo huo, eneo hilo limeondolewa raia, na kugeuza uwanja wa vita kuwa eneo la mapigano linalodhibitiwa kwa ulinzi wa drones usiku na mchana .
Madaraja yote ya mto Litani yameharibiwa au kuwekwa chini ya uangalizi kamili wa drones huku zikifunga njia za kutoroka na kuzuia magaidi hao kuleta wa misaada.
Kutoka magharibi na mashariki, vikosi vya Israeli vinafanya doria kuzuia kenge yeyote asitake salama eneo hilo!!!.
Sasa, wale waliokuja kushambulia Israeli wamenaswa na wana subiri Kifo tu hakuna namna ya kutoka hapo.
(Maariv)
Wewe subiri utaiona!!!Maelezo yako yanaonekana kuwa na msisitizo mkubwa sana wa upande mmoja bila kuonesha picha kamili ya hali halisi.
Ni kweli kwamba kuna uwezekano wa operesheni kali kufanyika kusini mwa Lebanon, lakini kauli za ‘wamenaswa na wanasubiri kifo’ zinafanana zaidi na lugha ya propaganda kuliko uchambuzi wa kijeshi.
Kwa kawaida, makundi kama Hezbollah yana uzoefu mkubwa wa vita vya aina ya guerrilla na si rahisi kuzingirwa kwa namna ya kuondoa kabisa uwezo wa kujinasua. Pia, taarifa za aina hii zinahitaji kuthibitishwa kutoka vyanzo zaidi ya kimoja ili kupata uhalisia wake.
Pengine ni sahihi zaidi kuangalia tukio hili kwa tahadhari na kusubiri taarifa huru na kamili kabla ya kufikia hitimisho la mwisho.
Jifunze kuangalia facts na sio kuchagua upande.
Mwanaume kudhihaki ndevu ni dalili ya uchoko,Mwanaume rijali hawezi kudhihaki ndevu coz ndevu ni mojawapo ya dalili ya Mwanaume,huko Israel ndio machoko yamejaa,bila shaka hata wewe umesha poswa tayari,Nilikuwa sijui Kama wewe ni ***** hivyo hutaona najibishana na wewe tena Maana Mimi sijibishani na Machoko!!
Wewe subiri utaiona!!!
Kumbuka madaraja yote yamevunjwa na kuna ulinzi makali kulinda na kuzuia yeyote atakayetaka kutoka kwenye Mwingiro huo!!
Kijeshi hawapigani vita kutumia uzoefu wakishakuwahi huna namna uzoefu wako haina maana yoyote!!!
Umesema nimechagua upande mbona wewe nawe umeshachagua upande? Kwangu ni kosa na kwako ni halali?
Mwanaume kudhihaki ndevu ni dalili ya uchoko,Mwanaume rijali hawezi kudhihaki ndevu coz ndevu ni mojawapo ya dalili ya Mwanaume,huko Israel ndio machoko yamejaa,bila shaka hata wewe umesha poswa tayari,
Wewe huna uwezo wa kujibishana na mimi coz huna ujualo,tafuta kazi ya kufanya,haya manyuzi ya kijinga jinga kujifanya Myahudi mweusi wa Nzega hayawezi kukutoa kwenye umasikini unaokutesa kila kukicha,
Get a life.