Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

Sasa hapo inabadilisha nini kwenye hoja ya mtoa mada? By the way simba ameshawahi kukaa juu ya mwarabu kwa kuongoza kundi, tena mwarabu mwenyewe ni al ahly, unaelewa maana yake?
 
Kwa wakati huo sina kumbukumbu kama iliwahi kufungwa kwa Mkapa kwenye hatua ya makundi tena kwa mgoli 2+ hivyo ni Simba mbili tofauti. Mada ya mleta uzi anazungumzia ubora wa Simba kwasasa kisa tu ni moja ya timu mbili ambazo hazikutoka atika timu za uarabuni. Fuatilia tokea mwanzo ujue msingi wa hoja yangu. Umedandia katikati
 
Akili yako ngumu sana kuelewa hata vitu vidogo kama hivi. Haya nenda kalale tuu uendelee kuota unaokota hela
 
Katika tafiti zangu, nimegundua Club ya yanga ina-power kubwa sana katika Propaganda za soka Tanzania. Endapo utashindwa kuutazama mpira kwa jicho lako(Independently) basi utafikiri kile wanachotaka ufikiri wao(Yanga)...
Uko Sahihi, kwa mfano kwa sasa wako Kombe la Loosers lkn wanavyotuna mtaaani utadhan wako Caf Champions League.

Hapo hawajafika hatua ya Robo fainali sijui itakuwaje mtaaani. Lkn wanavyoiponda SIMBA wamesahau kwamba Mwaka 1993 Simba ilifika Fainali ya hayo Mashindano ikicheza na Stella Abdjan Bolizozo akifanya yake. So mafanikio ya Simba kwenye hilo Kombe SIMBA IMEYAWEKA MIAKA 30 iliyopita na wao leo ndio wanatafuta kusawazisha.
 
mtoa mada ndio mimi niliyekujibu, Simba ninayoizungumzia ni Simba hiyo moja, wanachama, mashabiki, assets zake ni zilezile, rekodi zake ni zilezile.

mataokeoa yake ya CAF ndio yaliyoiyofanya ikapangwa na timu ilizopangwa nazo msimu huu kwenye hilo kundi, ingekuwa timu kilaza CAf Waingeweka kwenye pot 4 na timu kama Cotton Sport
 
Mmekaa nafasi ya Horoya ngoja wiki hii wenyewe wachukue nafasi yao mbwa nyinyi.
UKUMBUSHO. MBWA NI JINA LILILOTAIFISHWA KWA AJILI WA WANAUTOPOLO NA MSHEMIWA LUC EYMAEL KWA HIYO NI KOSA LA JINAI KUMUITA MBWA SHABIKI WA TIMU NYINGINE ASIYE MLAMBA VINYEO.

WANAUTO WOTE NYINYI NI MAUMBWA.
 
Mashabiki wa simba wanapenda sana kucheza mpira wa mdomoni. Siku ya mechi mambo yakienda tofauti, wanaanza kuwashutumu wachezaji wao, benchi la ufundi, mwenyekiti wa timu, na mwekezaji wao! 😃
nyie mnacheza mpira wa wapi? na huo mpira umewafikisha wapi ukilinganisha na Simba?
 
1993 Simba ilicheza robo fainali ya CAF confederation cup au ni CAF cup? Simba imefungwa goli tatu na raja kwasababu gani wakati huko awali alikiwa akiwanyanyasa sana wapinzani hapo kwa Mkapa?
Kuhusu Yanga nadhani nyimbo zilikuwa nyingi za kiutabiri mara ndio mwisho wao wa kimataifa kwa Club African hawachomoki. Ikaja kuhamia kuwa watapigwa hamsa hamsa kwenye group stage maana monastir na Tp Mazembe ni balaa. Saivi mmegeuka kuwa timu mbovu
 
Sisi tunacheza mpira wa vitendo, na siyo wa maneno mengi mdomoni kama nyinyi.
ndio nimekuuliza huo mpira wa vitendo umewafikisha wapi tofauti na Simba? au ndio kumfunga Mazembe Shirikisho?
 
ndio nimekuuliza huo mpira wa vitendo umewafikisha wapi tofauti na Simba? au ndio kumfunga Mazembe Shirikisho?
Hata nyinyi pia kwa misimu miwili sasa tumekuwa tunawatembezea kichapo. Sababu ni hiyo tu. Maneno kidogo, halafu vitendo kwa sana.
 
Hata nyinyi pia kwa misimu miwili sasa tumekuwa tunawatembezea kichapo. Sababu ni hiyo tu. Maneno kidogo, halafu vitendo kwa sana.
kumbe kummfunga Simba ndio mafanikio yenu, basi sawa

na mlimchukua Manara wa kazi gani ambaye aliwatukana hamna akili na kuunga mkono kauli ya Luc kuwa nyie ni nyani?
 
Yanga kwani inatoka wapi mbona haipo
 

Tia maji tia maji safari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…