Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Utopolo hwafuatilii mamboSimba haikuwekwa hilo kundi kwa bahati mbaya, iliwekwa kutokana na ranking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo hwafuatilii mamboSimba haikuwekwa hilo kundi kwa bahati mbaya, iliwekwa kutokana na ranking
Sasa hapo inabadilisha nini kwenye hoja ya mtoa mada? By the way simba ameshawahi kukaa juu ya mwarabu kwa kuongoza kundi, tena mwarabu mwenyewe ni al ahly, unaelewa maana yake?Ingekuwa kundi la Simba lina waarabu wawili ndio ingekuwa sahihi kauli yako. Makundi mengine yana timu zaidi ya moja ya kiarabu hivyo unatakiwa kufurukuta ili upate nafasi. Asa kundi lina mwarabu mmoja tu obviously lazima timu anayeungana nae lazima iwe sio mwarabu. Sijui uliwaza nini
Kwa wakati huo sina kumbukumbu kama iliwahi kufungwa kwa Mkapa kwenye hatua ya makundi tena kwa mgoli 2+ hivyo ni Simba mbili tofauti. Mada ya mleta uzi anazungumzia ubora wa Simba kwasasa kisa tu ni moja ya timu mbili ambazo hazikutoka atika timu za uarabuni. Fuatilia tokea mwanzo ujue msingi wa hoja yangu. Umedandia katikatiSimba haikuwekwa hilo kundi kwa bahati mbaya, iliwekwa kutokana na ranking.
kabla ya kupanga makundi timu za rank ya juu huwekwa pot yake, rank ya inayofuata pot yake, timu za rank ya kati pot yake na rank za mwisho pot yake ili kuepuka timu nzuri zote kuwekwa kundi moja au timu vilaza zote kuwekwa kundi moja.
Simba isingeweza kuwekwa kwenye kundi lenye timu mbili za kiarabu sababu ilikuwa kwenye pot moja na timu nyingi za kiarabu.
Hata hivyo kama hujui, Simba ilishawekwa kwenye makundi na timu za kiarabu na ikazipita, kama umeanza kufuatilia mpira mwaka huu ngoja nikuwekee.
View attachment 2547123
View attachment 2547122
Akili yako ngumu sana kuelewa hata vitu vidogo kama hivi. Haya nenda kalale tuu uendelee kuota unaokota helaKwani Horoya ni mwarabu? Hata akiwa Horoya bado ni vile vile tu haikuwa vita ya Simba na mwarabu bali itakuwa ni vita ya Simba na ngozi nyeusi mwenzie ambaye ni Vipers na Horoya. labda ingekuwa kuna waarabu wawili ndio alichoongea kingekuwa kina usahihi.
Uko Sahihi, kwa mfano kwa sasa wako Kombe la Loosers lkn wanavyotuna mtaaani utadhan wako Caf Champions League.Katika tafiti zangu, nimegundua Club ya yanga ina-power kubwa sana katika Propaganda za soka Tanzania. Endapo utashindwa kuutazama mpira kwa jicho lako(Independently) basi utafikiri kile wanachotaka ufikiri wao(Yanga)...
mtoa mada ndio mimi niliyekujibu, Simba ninayoizungumzia ni Simba hiyo moja, wanachama, mashabiki, assets zake ni zilezile, rekodi zake ni zilezile.Kwa wakati huo sina kumbukumbu kama iliwahi kufungwa kwa Mkapa kwenye hatua ya makundi tena kwa mgoli 2+ hivyo ni Simba mbili tofauti. Mada ya mleta uzi anazungumzia ubora wa Simba kwasasa kisa tu ni moja ya timu mbili ambazo hazikutoka atika timu za uarabuni. Fuatilia tokea mwanzo ujue msingi wa hoja yangu. Umedandia katikati
UKUMBUSHO. MBWA NI JINA LILILOTAIFISHWA KWA AJILI WA WANAUTOPOLO NA MSHEMIWA LUC EYMAEL KWA HIYO NI KOSA LA JINAI KUMUITA MBWA SHABIKI WA TIMU NYINGINE ASIYE MLAMBA VINYEO.Mmekaa nafasi ya Horoya ngoja wiki hii wenyewe wachukue nafasi yao mbwa nyinyi.
Mashabiki wa simba wanapenda sana kucheza mpira wa mdomoni. Siku ya mechi mambo yakienda tofauti, wanaanza kuwashutumu wachezaji wao, benchi la ufundi, mwenyekiti wa timu, na mwekezaji wao! 😃simbwa bwana! mechi 2 mkononi mnaanza majigambo
Mikia FC hatoboi.Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu.
Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo...
nyie mnacheza mpira wa wapi? na huo mpira umewafikisha wapi ukilinganisha na Simba?Mashabiki wa simba wanapenda sana kucheza mpira wa mdomoni. Siku ya mechi mambo yakienda tofauti, wanaanza kuwashutumu wachezaji wao, benchi la ufundi, mwenyekiti wa timu, na mwekezaji wao! 😃
Sisi tunacheza mpira wa vitendo, na siyo wa maneno mengi mdomoni kama nyinyi.nyie mnacheza mpira wa wapi? na huo mpira umewafikisha wapi ukilinganisha na Simba?
1993 Simba ilicheza robo fainali ya CAF confederation cup au ni CAF cup? Simba imefungwa goli tatu na raja kwasababu gani wakati huko awali alikiwa akiwanyanyasa sana wapinzani hapo kwa Mkapa?Uko Sahihi, kwa mfano kwa sasa wako Kombe la Loosers lkn wanavyotuna mtaaani utadhan wako Caf Champions League. Hapo hawajafika hatua ya Robo fainali sijui itakuwaje mtaaani. Lkn wanavyoiponda SIMBA wamesahau kwamba Mwaka 1993 Simba ilifika Fainali ya hayo Mashindano ikicheza na Stella Abdjan Bolizozo akifanya yake. So mafanikio ya Simba kwenye hilo Kombe SIMBA IMEYAWEKA MIAKA 30 iliyopita na wao leo ndio wanatafuta kusawazisha.
ndio nimekuuliza huo mpira wa vitendo umewafikisha wapi tofauti na Simba? au ndio kumfunga Mazembe Shirikisho?Sisi tunacheza mpira wa vitendo, na siyo wa maneno mengi mdomoni kama nyinyi.
Hata nyinyi pia kwa misimu miwili sasa tumekuwa tunawatembezea kichapo. Sababu ni hiyo tu. Maneno kidogo, halafu vitendo kwa sana.ndio nimekuuliza huo mpira wa vitendo umewafikisha wapi tofauti na Simba? au ndio kumfunga Mazembe Shirikisho?
kumbe kummfunga Simba ndio mafanikio yenu, basi sawaHata nyinyi pia kwa misimu miwili sasa tumekuwa tunawatembezea kichapo. Sababu ni hiyo tu. Maneno kidogo, halafu vitendo kwa sana.
Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu.
Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo.
Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika, tazama msimamo wa makundi CAFCL.
Club zote zilizo katika nafasi ya kwanza na ya pili zinatoka katika nchi za kiarabu isipokuwa club mbili tu, Simba na Mamelodi Sundows ya Africa Kusini.
Kwa wasiojua soka la Afrika vizuri, mataifa ya Kiarabu ni mtaifa tajiri sana na wachezaji wake hawaendi kucheza ligi za Ulaya kama mataifa ya Afrika Magharibi.
Mfano Timu ya taifa ya Morocco ambayo ilifanya vizuri kombe la Dunia na kufika nusu fainali, asilimia 90% ya wachezaji wake wanatoka kwenye club ambazo Simba inashindana nazo kwenye Champions League.
View attachment 2546980View attachment 2546981