Mdau aliuliza Yanga itaingia lini makundi, ameuliza as if haijawahi kuingia hata mara moja.
Ndio nikamtaarifu, inawezekana alikuwa bado kinda wakati huo.
Anaeshindwa kukubali mafanikio ya Simba kwa kuilinganisha na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa huyo ni wa kumpuuza.