Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

Na Simba asemeje? Yeye aliingia fainali.
Mdau aliuliza Yanga itaingia lini makundi, ameuliza as if haijawahi kuingia hata mara moja.
Ndio nikamtaarifu, inawezekana alikuwa bado kinda wakati huo.
Anaeshindwa kukubali mafanikio ya Simba kwa kuilinganisha na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa huyo ni wa kumpuuza.
 
Ingekuwa kundi la Simba lina waarabu wawili ndio ingekuwa sahihi kauli yako. Makundi mengine yana timu zaidi ya moja ya kiarabu hivyo unatakiwa kufurukuta ili upate nafasi. Asa kundi lina mwarabu mmoja tu obviously lazima timu anayeungana nae lazima iwe sio mwarabu. Sijui uliwaza nini
Ili mradi tu ujifariji. Mashabiki wa uto mna kazi Sana ya kutetea ujinga,anayewalipa mwambieni awaongeze mshahara maana kazi ni ngumu Sana.

Miaka kadhaa tu nyuma Simba ilikuwa kwenye kundi moja na waarabu wawili tena mmoja akiwa ndiye mbabe wa haya mashindano na Simba akatoboa kuingia robo fainali.

Simba
Al ahly (mwarabu)
Js Soura (mwarabu)
As Vita club.
 
Mdau aliuliza Yanga itaingia lini makundi, ameuliza as if haijawahi kuingia hata mara moja.
Ndio nikamtaarifu, inawezekana alikuwa bado kinda wakati huo.
Anaeshindwa kukubali mafanikio ya Simba kwa kuilinganisha na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa huyo ni wa kumpuuza.
Najua Yanga iliingia Makundi miaka 25 iliyopita, nimemaanisha ni lini mtaingia tena?
 
Back
Top Bottom