Huu ndiyo usajili bora Tanzania mpaka sasa

Nadhani tusubilie kiwanjani,huwa sitoi comment yoyote Kwa mchezaji mpya hadi aprove kiwanjani........nashangaa asubuhi DSM kwenye vijiwe vya magazeti watu wanavimba mishipa Kwa kubishana.......utajikuta unamsifia mtu kumbe ni Sawadogo ajaye
Sawadogo alipnekana tu......mtu mzito sana yule
 
Hajamzidi Kapombe bado.
 
Gael bigirimana,chico ushindi wakubanza, ....muda utaongea
 
Inaonekana hapo sakho ameshindwa kumpita Akaamua kujaribu kwa mbali mzembe ni kipa sio beki .
Beki ndio mzembe aliruhusu vipi hadi sakho akapiga huo mpira
 
Nadhani tusubilie kiwanjani,huwa sitoi comment yoyote Kwa mchezaji mpya hadi aprove kiwanjani........nashangaa asubuhi DSM kwenye vijiwe vya magazeti watu wanavimba mishipa Kwa kubishana.......utajikuta unamsifia mtu kumbe ni Sawadogo ajaye
Baadhi ya wapenzi wa Yanga na simba ni vichaa tena wengine watu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…