Kashasahau Fei naye kasajiliwa dirisha hiliNimekwambia nitajie nje ya timu za kariakoo usajili unadhani ni bora mbona timu ni nyingi na zimesajili wewe umebaki kubwabwaja tu.
Swali jepesi tu hilo linakutoa kijasho..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashasahau Fei naye kasajiliwa dirisha hiliNimekwambia nitajie nje ya timu za kariakoo usajili unadhani ni bora mbona timu ni nyingi na zimesajili wewe umebaki kubwabwaja tu.
Swali jepesi tu hilo linakutoa kijasho..
Sawadogo alipnekana tu......mtu mzito sana yuleNadhani tusubilie kiwanjani,huwa sitoi comment yoyote Kwa mchezaji mpya hadi aprove kiwanjani........nashangaa asubuhi DSM kwenye vijiwe vya magazeti watu wanavimba mishipa Kwa kubishana.......utajikuta unamsifia mtu kumbe ni Sawadogo ajaye
Beki mzembe ndo alotoa assists 2 kipindi mnakandwa 3-0 na asec mechi ya maridianoBeki mzembe kwanini kaacha kuruka kuondoa mpira huo wa juu,zembe ssna ilo😂😅
Huyu mwamba chukua Djuma Shaban+Kapombe ongezea na Kibwana ndiyo unapata kiwango chake.Beki mzembe ndo alotoa assists 2 kipindi mnakandwa 3-0 na asec mechi ya maridiano
Dah kwli mpira na rede ni vitu viwili tofautiInaonekana hapo sakho ameshindwa kumpita Akaamua kujaribu kwa mbali mzembe ni kipa sio beki .
Tuwe serious jamanj usajili wa kibabage halafu mkude ndio uwe the best. Hebu tuache unazi pembeni lile boko la Gift sijawahi ona tangu nizaliwe dunia hiiYa kwanza ni Yanga
Ya pili ni Azam
Hajamzidi Kapombe bado.USAJILI BORA MPAKA SASA
Dirisha halijafungwa bado lipo wazi ila mapaka muda huu sajili zote zilizofanyika hapa nchini kwenye klabu zote, bila kupepesa macho, bila unafki huu kwangu ndo usajili Bora uliofanywa na Yanga Africans wa Yao Attohoula [emoji119][emoji736]
Huyu mwamba ana speed
Accuracy in tackling
Kufunga
NB: muda utaongea View attachment 2688554
Ni kweli ndiyo maana nilicheza Mpira tangu 1986 na nimeangalia Kwenye tv za ndani na nje na kushuhudia Mechi Kwenye viwanja mbalimbali ikiwemo uhuru tangu 1987Dah kwli mpira na rede ni vitu viwili tofauti
Gael bigirimana,chico ushindi wakubanza, ....muda utaongeaUSAJILI BORA MPAKA SASA
Dirisha halijafungwa bado lipo wazi ila mapaka muda huu sajili zote zilizofanyika hapa nchini kwenye klabu zote, bila kupepesa macho, bila unafki huu kwangu ndo usajili Bora uliofanywa na Yanga Africans wa Yao Attohoula [emoji119][emoji736]
Huyu mwamba ana speed
Accuracy in tackling
Kufunga
NB: muda utaongea View attachment 2688554
Sijakuona ukijibu hapa Labani ogUyo beki ndio huyu hapa👇View attachment 2688609
Almpa Sakho kiatu kwa uzembe,mzembe sana huyu😅😂
Beki ndio mzembe aliruhusu vipi hadi sakho akapiga huo mpiraInaonekana hapo sakho ameshindwa kumpita Akaamua kujaribu kwa mbali mzembe ni kipa sio beki .
Labani akujua kama huyu beki waliyemsajili ni mzembe.Sijakuona ukijibu hapa Labani og
Baadhi ya wapenzi wa Yanga na simba ni vichaa tena wengine watu wazima.Nadhani tusubilie kiwanjani,huwa sitoi comment yoyote Kwa mchezaji mpya hadi aprove kiwanjani........nashangaa asubuhi DSM kwenye vijiwe vya magazeti watu wanavimba mishipa Kwa kubishana.......utajikuta unamsifia mtu kumbe ni Sawadogo ajaye
Kwahiyo hapo ulitaka aingize kichwa?Uyo beki ndio huyu hapa👇View attachment 2688609
Almpa Sakho kiatu kwa uzembe,mzembe sana huyu😅😂
Hii nchi ina phd wa hovyo!Kwahiyo hapo ulitaka aingize kichwa?
Hivi una akili timamu?
Sakho alitaka kuondoka ila kamwona huyu jamaa kaja anataka abaki aendelee kumnyanyasaUyo beki ndio huyu hapa👇View attachment 2688609
Almpa Sakho kiatu kwa uzembe,mzembe sana huyu😅😂
afadhali kidogo kibabage ila Mkude wamepoteaTuwe serious jamanj usajili wa kibabage halafu mkude ndio uwe the best. Hebu tuache unazi pembeni lile boko la Gift sijawahi ona tangu nizaliwe dunia hii