Huu ndiyo utaratibu wa kuondoa ukomo wa Urais kwenye katiba ya JMT ya 1977

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,446
Reaction score
3,319

Ili kufanya mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusiana na ofisi ya Urais wa JMT kwenye Cap 2 (URT Constitution of 1977), kinachohitajika ni Serikali kupeleka muswada bungeni kama miswada mingine wa kubadili kifungu tajwa. Isipokuwa tu kwenye upitishaji itahitajika theluthi mbili za wabunge kutoka bara na theluthi mbili kutoka Zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa article 98 ya Katiba (Cap 2, 1977) na Second schedule thereto.

Hivyo CCM ihakikishe tu inapata kuanzia aslilimia 67 ya wabunge kutoka pande zote mbili za muungano katika uchaguzi mkuu October 2020 ili waweze kumuongezea muda wa kutawala Mheshimiwa Sana Rais John Pombe Magufuli.

Kila la kheri chama cha mapinduzi!

"Maendeleo hayana chama".
Screenshot_2020-06-10-10-17-34.jpeg
Screenshot_2020-06-10-10-20-26.jpeg
 
Ili kufanya mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusiana na ofisi ya Urais wa JMT kwenye Cap 2 (URT Constitution of 1977), kinachohitajika ni Serikali kupeleka muswada bungeni kama miswada mingine wa kubadili kifungu tajwa. Isipokuwa tu kwenye upitishaji itahitajika theluthi mbili za wabunge kutoka bara na theluthi mbili kutoka Zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa article 98 ya Katiba (Cap 2, 1977) na Second schedule thereto.

Hivyo CCM ihakikishe tu inapata kuanzia aslilimia 67 ya wabunge kutoka pande zote mbili za muungano katika uchaguzi mkuu October 2020 ili waweze kumuongezea muda wa kutawala Mheshimiwa Sana Rais John Pombe Magufuli.

Kila la kheri chama cha mapinduzi!

Kwa hali inavyoendelea na namna mambo yanavyozimwa na kuibuliwa, bilashaka kuna jambo limeshapangwa na kufikiwa hitimisho hatulijui

Wanachokifanya ni kutuandaa kisaikolojia tu ili ije kusemwa aliombwa na wananchi

Naskia mwaka huu form ya U Rais imeandaliwa moja tu na imeshaandikwa na jina kabisa lakini siku yakigeuka watafute pa kwenda kulilia wasije hadharani

Hivi wabunge ni wawakilishi wa wananchi au wanawakilisha mawazo yao na kuangalia upepo
 
Ili kufanya mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusiana na ofisi ya Urais wa JMT kwenye Cap 2 (URT Constitution of 1977), kinachohitajika ni Serikali kupeleka muswada bungeni kama miswada mingine wa kubadili kifungu tajwa. Isipokuwa tu kwenye upitishaji itahitajika theluthi mbili za wabunge kutoka bara na theluthi mbili kutoka Zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa article 98 ya Katiba (Cap 2, 1977) na Second schedule thereto.

Hivyo CCM ihakikishe tu inapata kuanzia aslilimia 67 ya wabunge kutoka pande zote mbili za muungano katika uchaguzi mkuu October 2020 ili waweze kumuongezea muda wa kutawala Mheshimiwa Sana Rais John Pombe Magufuli.

Kila la kheri chama cha mapinduzi!

Mfano likifanikiwa je kwa wale viongozi wastaafu ktk nafasi za urais je nao wataweza kurejea Tena ktk kinyanganyiro cha kugombea tena?
 
Back
Top Bottom