rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Ujinga wa maalimu seif kuzuia wagombea ubunge matokeo yake ccm kwa wingi wao watapitisha kila sheria
Gaddafi hakufia madarakani bali alifia ndani ya mfereji nchini ya daraja huku akiwa amesokomezwa vijiti makalioni na akilia kama ng'ombe machinjioni.Basi mpeni mpaka atakapo fia madarakani kama wakina gadafi.
Safi hili kifanyike tuu!.Ili kufanya mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusiana na ofisi ya Urais wa JMT kwenye Cap 2 (URT Constitution of 1977), kinachohitajika ni Serikali kupeleka muswada bungeni kama miswada mingine wa kubadili kifungu tajwa. Isipokuwa tu kwenye upitishaji itahitajika theluthi mbili za wabunge kutoka bara na theluthi mbili kutoka Zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa article 98 ya Katiba (Cap 2, 1977) na Second schedule thereto.
Hivyo CCM ihakikishe tu inapata kuanzia aslilimia 67 ya wabunge kutoka pande zote mbili za muungano katika uchaguzi mkuu October 2020 ili waweze kumuongezea muda wa kutawala Mheshimiwa Sana Rais John Pombe Magufuli.
Kila la kheri chama cha mapinduzi!
Hujajibu swali langu, wewe ni mbumbumbu!Alafu ngoja uchafuzi upite vitakufa vyenywe tu hivi vikundi sheria zikiboreshwa.hatutaki vikundi vya kuwa vibaraka wa mabeberu.
Thus awataki wapinzani warudi bungeni Bali ni waimba kwaya wote ndio watakuwa wabunge ukijumlisha viongozi wa dini ashawanunua,TISS,wakuu wa vyombo wote ni wanufaika Nani apinge ili afe njaa.Ili kufanya mabadiliko ya kifungu cha katiba kinachohusiana na ofisi ya Urais wa JMT kwenye Cap 2 (URT Constitution of 1977), kinachohitajika ni Serikali kupeleka muswada bungeni kama miswada mingine wa kubadili kifungu tajwa. Isipokuwa tu kwenye upitishaji itahitajika theluthi mbili za wabunge kutoka bara na theluthi mbili kutoka Zanzibar. Hii ni kwa mujibu wa article 98 ya Katiba (Cap 2, 1977) na Second schedule thereto.
Hivyo CCM ihakikishe tu inapata kuanzia aslilimia 67 ya wabunge kutoka pande zote mbili za muungano katika uchaguzi mkuu October 2020 ili waweze kumuongezea muda wa kutawala Mheshimiwa Sana Rais John Pombe Magufuli.
Kila la kheri chama cha mapinduzi!
Kama Gadafi aliondoka madarakani na wengine wataondoka tu ni swala la muda
Mungu anaisimamia Tanzania bwashee.ndo maana unaona mambo yanaenda kwa uwezo wake.
Tanzania hakuna wapinzani,kuna waganga njaa
Basi mpeni mpaka atakapo fia madarakani kama wakina gadafi.
Wananchi wepi unaongelea?Watanzania hawahawa?Wabunge wampe atawale milele nawanachi watamtoa ndani yamiaka 2 tu, hawatangoja ata muhula wapil uishe