BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.
Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.