Huu ndiyo uzuri wa Rais Samia, ukweli ndiyo hulka yake

Huu ndiyo uzuri wa Rais Samia, ukweli ndiyo hulka yake

mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Huyu ndiyo mpenzi wa Mungu Sasa. Siyo kama yuleee, alikuwa anaimba tu mdomoni (kuwa msema kweli ni.........) lkn alikuwa muongo hatari.
 
Makusanyo hayakidhi?

Tuambie pesa hizi zinaenda wapi?

Tozo ya miamala ambayo haikuwepo huko mwanzo pato jipya hilo inaenda wapi pesa yote hiyo?
Miamala mingapi inafanywa kwa siku nchi nzima na kiasi gani kinapatikana

Bando la jero linauzwa buku kwa sasa maana yake ni kwamba kila kwenye elfu moja ya bando serikali inachukua zaidi ya mia tano
Kwa nchi nzima ni kiasi gani kinakusanywa kwa siku? pato jipya hilo

Kila mita ya Luku nchi hii inachangia shilingi elfu moja kila mwezi
Ni pato jipya

Tunajua duniani huko bei ya mafuta imerudi zamani haya mabilioni yanayokusanywa yanaenda wapi

Watanzania ni mang'ombe
Muwe mnafatilia taarifa za wizara ya fedha. Una simu janja lakini unashindwa kufatilia vitu vidogo Kama hivi
 
Ndugai ni wa chama gani? Na yeye ni mwenyekiti wa chama gani? Hapo naona tatizo kubwa liko kwenye chama chao
Ndugai akiwa Spika wa Bunge alipitisha Bajeti ya 2021/22 yenye matumizi ya Tsh 34 Trillion huku mapato yakiwa Tsh 18 Trillion Ina maana kulikuwa na nakisi ya Tsh 16 Trillion. Alipaswa kuchukua hatua akiwa ndani ya Bunge.

Kuja kuulizia nje ni UNAFIKI
 
Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.

Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.

Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.
Yalishaga zoea uongo hasa misukule ya Mwendazake
 
Ndugai ni wa chama gani? Na yeye ni mwenyekiti wa chama gani? Hapo naona tatizo kubwa liko kwenye chama chao
Hakuna suala la chama gani kwa kuwa bajeti siyo suala la vyama. Bajeti ni suala la mihimili; mhimili wa Serikali unatayarisha na kuomba idhini ya Bunge. Mhimili wa Bunge unapitia kisha ukiridhika unaidhinisha. Ukiwa na maoni au marekebisho, unaielekeza Serikali.
 
Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi wa ukweli na uwazi watanzania wenye akili timamu tunajivunia hilo serikali ni kweli inakopa na maendeleo tunayaona
Na kwenye umeme mnaseje!
 
Back
Top Bottom