BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi wa ukweli na uwazi watanzania wenye akili timamu tunajivunia hilo serikali ni kweli inakopa na maendeleo tunayaonaKama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.
Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.
Upo sawaMijitu inapend kudanganywa, kama walivyokuwa wanadanganywa Kila mirad imefanywa na fedha za ndani,. ADUMU MAMA SAMIA ADUMU. MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU
Lini amekataa kukosolewa. Kosea kwa kwa kujenga, sio kwa kukejeliKusifia ni jambo jema sema sana ila kukosoa ni bora zaidi, investment of complances in leadership is catastrophic.
Hongera kwa kuwa muwazi ila pia asichukie wala kufedheheka akikosolewa kuhusu jambo hilohilo
Kilichomfanya amuwajibishe Ndugai ni kipi?Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.
Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.
Rais ana mamlaka gani kwa speaker, uliona barua ya kutengua uspeaker kutoka kwa Rais. Ndugu alijiuzulu kwa hiari take na sababu zakeKilichomfanya amuwajibishe Ndugai ni kipi?
Naunga mkono hoja, tatizo la Watanzania waolalamika ni mazoea!.Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.
Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.
Alisema ataongeza 23% akahepa.Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.
Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.
Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.
Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.
Baada ya kuambiwa huo ukweli umefaidikaje?Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna miradi mikubwa inahitaji fedha, na bado makusanyo yetu hayakidhi kuhudumia vitu vyote kwa wakati mmoja.
Tumpe Rais nafasi afanye kazi take kwa Uhuru, tuache maneno yasiyokuwa na tija.
Hakuna siri hata Magufuli mnaemsema hakukopa kwa siri tatizo hatupendi kusoma ila tunapenda umbeaBaada ya kuambiwa huo ukweli umefaidikaje?
Wameondoa tozo au?
Kejeli ni lugha pia kiongozi apaswa kuwa mstahimilivuLini amekataa kukosolewa. Kosea kwa kwa kujenga, sio kwa kukejeli
Kuna shida kwenye bongo za watanzania.Hakuna siri hata Magufuli mnaemsema hakukopa kwa siri tatizo hatupendi kusoma ila tunapenda umbea
Ndugai akiwa Spika wa Bunge alipitisha Bajeti ya 2021/22 yenye matumizi ya Tsh 34 Trillion huku mapato yakiwa Tsh 18 Trillion Ina maana kulikuwa na nakisi ya Tsh 16 Trillion. Alipaswa kuchukua hatua akiwa ndani ya Bunge.Kilichomfanya amuwajibishe Ndugai ni kipi?
AiseeNdugai akiwa Spika wa Bunge alipitisha Bajeti ya 2021/22 yenye matumizi ya Tsh 34 Trillion huku mapato yakiwa Tsh 18 Trillion Ina maana kulikuwa na nakisi ya Tsh 16 Trillion. Alipaswa kuchukua hatua akiwa ndani ya Bunge.
Kuja kuulizia nje ni UNAFIKI
Makusanyo hayakidhi?Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.