Huu ndiyo uzuri wa Rais Samia, ukweli ndiyo hulka yake

mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa.
Huyu ndiyo mpenzi wa Mungu Sasa. Siyo kama yuleee, alikuwa anaimba tu mdomoni (kuwa msema kweli ni.........) lkn alikuwa muongo hatari.
 
 
Ndugai ni wa chama gani? Na yeye ni mwenyekiti wa chama gani? Hapo naona tatizo kubwa liko kwenye chama chao
Ndugai akiwa Spika wa Bunge alipitisha Bajeti ya 2021/22 yenye matumizi ya Tsh 34 Trillion huku mapato yakiwa Tsh 18 Trillion Ina maana kulikuwa na nakisi ya Tsh 16 Trillion. Alipaswa kuchukua hatua akiwa ndani ya Bunge.

Kuja kuulizia nje ni UNAFIKI
 
Yalishaga zoea uongo hasa misukule ya Mwendazake
 
Ndugai ni wa chama gani? Na yeye ni mwenyekiti wa chama gani? Hapo naona tatizo kubwa liko kwenye chama chao
Hakuna suala la chama gani kwa kuwa bajeti siyo suala la vyama. Bajeti ni suala la mihimili; mhimili wa Serikali unatayarisha na kuomba idhini ya Bunge. Mhimili wa Bunge unapitia kisha ukiridhika unaidhinisha. Ukiwa na maoni au marekebisho, unaielekeza Serikali.
 
Uongozi wa Rais Samia Suluhu ni uongozi wa ukweli na uwazi watanzania wenye akili timamu tunajivunia hilo serikali ni kweli inakopa na maendeleo tunayaona
Na kwenye umeme mnaseje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…