Jambo mojawapo kubwa lilichangia sana kuharibu au kudumaza demokrasia ya nchi yetu ni vyama vya siasa kupewa fedha kutoka serikalini hizo zinazoitwa ruzuku.Kuendesha chama kikubwa kama CDM bila chochote kutoka serikalini kwa miaka 5 sio mchezo.
na huo ndo mwiba mchungu sn wanaolia nao ccm ni mchungu ni mchungu na hakika ni mchungu na T.A.M LISSU aktoka atakuwa ana makolokolo mengi sn ya uko lupango yakiwemo ya kutumiwa watu wa kumshawishi ujinga atayaachia nchi itachangamka vibaya sn na chadema itakuwa kwny kilele kikuu haijawai tokea kbs.Muhasisi wa no reform no election akitoka jela hii CCM itapata shida Sana zaidi ya hapa
Ni vyema kupima mafanikio ukizingatia huu ni mwisho wa mwakaUnataka SI unit ?
Mkuu tambua hata wangeshiriki wangeambulia patupu,wangetumika kuimarisha na kuhalalisha utawala haramu wa CCM.Nikweli ila je wamefanikiwa kwa kiasi gani
Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote.
Heko chadema.
Chaumama ya akina Mrema wanaskilizia bundle lingine waingie kazini🤣🤣🤣🤣🤣Sasa chadema ikumbukwe kwa lipi
Hiyo kuendesha chama kwa kutegemea ruzuku ya serekali ndio kulifanya vyama vya upinzani kuburuzwa na ccm. Cdm wamejitoa muhanga kwenye hilo. Wataendesha chama chao kwa michango ya wafuasi wake. Kama pesa itakuwa kidogo huo ndio uhalisia na cdm kama chama wako tayari kulipa gharama ya hilo.
Kati ya uliyoyataja sijaona fanikio hata moja kwa chademaMkuu tambua hata wangeshiriki wangeambulia patupu,wangetumika kuimarisha na kuhalalisha utawala haramu wa CCM.
Mafanikio ya no reforms no election ni haya.
1.Chura kiziwi lazima ,elewa neno lazima,atashitakiwa ICC na kwa kiwango kikubwa imefanikisha kumchafua kimataifa,badala ya kustaafu na kwenda kulea wajukuu wake huko kizimkazi sasa atafia gerezani,huko Hague.
2. Tanganyika kukosa misaada Toka kwa wahisani baada ya CCM kufanya robbery ya kura na kuua watanganyika
3. Ujio wa katiba mpya,watake wasitake katiba mpya ambayo itakuwa na usawa kwa watanganyika iko njiani.
Cdm ya sasa wamefanikiwa kuruka siasa za bahasha, vinginevyo wangekubali kushiriki uchaguzi huu ili wapate hizo hela za kuganga njaa.Kwenye medani za siasa sina la kupingana na wewe Kaka....ndio uwanja wako huu. Ngoja tusubirie CDM wako na mkakati gani.... maana CUF na NCCR hawakutoboa hicho kihunzi.
Yoda kuwa na vyanzo vya mapato nje ya ruzuku ndio mtihani ulipo. Gharama za uendeshaji ni kubwa. Na tunajua siasa ni bahasha bila kujalisha ni upinzani au watawala.
Wanachama ndio wanatakiwa wavichangie vyama vya siasa, sio kodi za raia au vyama kufanya biashara. Wanachama kuchangia vyama ina maanisha wanakikubali na kufuatilia mambo ya chama chao, pia inaondoa kiburi kwa chama ni kukifanya kiwe kinasikiliza na kuwajibika kwa matakwa ya wanachama wake walio wengi.Kwenye medani za siasa sina la kupingana na wewe Kaka....ndio uwanja wako huu. Ngoja tusubirie CDM wako na mkakati gani.... maana CUF na NCCR hawakutoboa hicho kihunzi.
Yoda kuwa na vyanzo vya mapato nje ya ruzuku ndio mtihani ulipo. Gharama za uendeshaji ni kubwa. Na tunajua siasa ni bahasha bila kujalisha ni upinzani au watawala.
Sawa mkuKati ya uliyoyataja sijaona fanikio hata moja kwa chadema
Chadema wakifunguliwa kutoka kifungoni wanaanza upyaa wajipange kwa sera zinazoeleweka hiyo ya maombolezo watz washaisahauSawa mku
Mkuu umesahau wewe ambaye hukufiwa na pengine ulihusika kutuulia ndugu zetu,acha kuwapangia,na kwambia sasa hivi Samia anajutaChadema wakifunguliwa kutoka kifungoni wanaanza upyaa wajipange kwa sera zinazoeleweka hiyo ya maombolezo watz washaisahau
Kama wamepigwa sindano la kuchomea nguruwe. Ndio maana wanatamani wakifute chadema, ila hawaoni makosa.Hii kitu inawauma Sana CCM
Mimi naongea uhalisia tofauti nawewe unaeongea kiimani zaidMkuu umesahau wewe ambaye hukufiwa na pengine ulihusika kutuulia ndugu zetu,acha kuwapangia,na kwambia sasa hivi Samia anajuta