Huu ndo uamuzi bora kuwahi kufanywa na CHADEMA

Sasa chadema ikumbukwe kwa lipi
Hata kama unalipwa kusukuma maisha yako, bhasi ishi kwenye uhalisia kama binadamu aliyepewa utashi na uwelewa na Mungu juu ya mambo yote yanayoendelea katika nchi yako, bara lako na sayari Mungu aliyokuweka ambayo ni dunia brother.
 
Hata kama unalipwa kusukuma maisha yako, bhasi ishi kwenye uhalisia kama binadamu aliyepewa utashi na uwelewa na Mungu juu ya mambo yote yanayoendelea katika nchi yako, bara lako na sarayi Mungu aliyokuweka ambayo ni dunia brother.
Mbona umepanik
 
Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote.

Heko chadema.
💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿
 
Kitendo cha Chadema kutoshiriki uchaguzi mkuu mwaka huu utabaki kuwa maamuzi Bora kuwahi kufanyika na kukumbukwa na vizazi vyote.

Heko chadema.
Lissu ni msomaji nzuri wa mada humu JF,

Tumewahi kuandika kitambo humu tukihoji.

Iweje Chadema iingie Katika uchaguzi wa urais ikijua katiba inasema atakayetangazwa na Tume ndiye mshindi na maamuzi yao hayapingwi mahakamani,

Sasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa aina hiyo Kisha kudai wameibiwa kura, hawaoni kuwa ni kuwafanya wananchi na wapiga kura kama hamnazo?

Na ndio hasa Msingi wa Ile kauli mbiu kuwa,

Bila reform kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi,

Uchaguzi batili UTAYEYUKA.

na kweli ukayeyuka.

Tunasubiri kupiga kura ya haki baada ya kupatikana tume huru ya uchaguzi.
 
Kuneemeka hata vitani wako wanaoneemeka, sio kitu cha ajabu. Acheni kutisha watu ili wakubali kuburuzwa siku zote.
 
Kuneemeka hata vitani wako wanaoneemeka, sio kitu cha ajabu. Acheni kutisha watu ili wakubali kuburuzwa siku zote.

Duh sawa Mkuu.

Ngoja Mimi niishie hapa kabla mihemko haijauvagaa huu Uzi. Maana naona tayari umesha nichagulia upande kabisa na kuniweka katika kundi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…