Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
347
Reaction score
587
7b78eb8d9f401c6f809c939d2d1d6241.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanamuziki watz tatizo hawajui kutumia hizi nafasi,hili bifu lingeingiza pesa ndefu sana kama wangedili na kutoleana povu kwenye muziki kuliko kwenye social networks,huku hakuna pesa inayoingia fujo tuu unasababisha watu watukanane bila sababu wakati ungeweka nyimbo wangebishana kwa mistari ya kwenye muziki
 
Tabu wanajua Ali kaboronga

Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na Ali ndio akandandia baada ya lile bifu.

Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.

Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa
 
Ommy Dimpoz atapimwa mkojo duh 😀😀 alafu anaachia shuzi la kimya kimya lile naona waliosikia harufu wamepaniki,uyu Kiba amshukuru sana Dimpoz anamsaidia sana kumaliza mapambano ya mitandaoni kwa sasa hee heee heee
 
Tony anthony uko sahihi...mfano Kiba na timu yake wangeandaa tour wakaiita Kipusa Tour na Diamond naye akaandaa ya Zilipendwa Tour!
Wangepiga mpunga ba Team zao zingesobga...wangeuza tshirts,nembo na vikolokolo vya team zao...!
Kuna watu wanauchulia huu "ugomvi" serious wakati wenye kujua biashara hii ndiyo fursa ya kupiga pesa toka kwa wafia team..!
 
Ommy Dimpoz atapimwa mkojo duh 😀😀 alafu anaachia shuzi la kimya kimya lile naona waliosikia harufu wamepaniki,uyu Kiba amshukuru sana Dimpoz anamsaidia sana kumaliza mapambano ya mitandaoni kwa sasa hee heee heee
Kwa kweli maana kiba siyo mtu wa madongo.
Hata lile dongo la Twitter nahisi ni ommy aliliandika
 
Back
Top Bottom