PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]McDonaldJr Ommy ni mkata umeme mzuri...namfananisha na Matic,Casemiro na Kante!
Ni kama Yohana Mbatizaji...anaandaa mapito ya "masihi" Kiba!
Kwa kweli maana kiba siyo mtu wa madongo.Ommy Dimpoz atapimwa mkojo duh 😀😀 alafu anaachia shuzi la kimya kimya lile naona waliosikia harufu wamepaniki,uyu Kiba amshukuru sana Dimpoz anamsaidia sana kumaliza mapambano ya mitandaoni kwa sasa hee heee heee
Ommy ni faaaaaaaaaaara.