Rockaboy EA
Member
- Aug 25, 2017
- 6
- 7
Huna jipya wewe pambana na hali yakoTabu wanajua Ali kaboronga
Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na aali ndio akandandia baada ya lile bifu.
Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.
Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa
Mpaka nimeanza kuhisi kiba ni bwana ake only sio kwa ommy kumpigania hivyo haiingii akiliniTabu wanajua Ali kaboronga
Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na aali ndio akandandia baada ya lile bifu.
Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.
Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa
Ha ha ha[emoji2] [emoji2] [emoji2]McDonaldJr Ommy ni mkata umeme mzuri...namfananisha na Matic,Casemiro na Kante!
Ni kama Yohana Mbatizaji...anaandaa mapito ya "masihi" Kiba!
Tulia Dawa iwaingie mlizoea kumuonea kiba sasa mmekutana na mswahili.hawa wote wako lebo mojahvi hili punga halina kazi za kufanya!? mbona muda mwingi anaingia kwenye battlefield wakati vita haimuhusu??
Na mimi nahisi hivyo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka nimeanza kuhisi kiba ni bwana ake only sio kwa ommy kumpigania hivyo haiingii akilini
Huyu nae zilipendwa,amebaki kuwa Chawa wa Ali Kiba hahahaa
Kweli kabisa, Sio hawa kina Salam skNaseeb na team yake wamepanic wanaonyesha wanapambana na Ali kwa nguvu zote. Tumemjua anayeleta bifu nani! Ali mmoja kikundi na wanamuziki wanapanikije? Wcb wasajili mtu mwenye busara awaongoze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure ,,nahuyu jamaa ommy nahisi atakua anatabia za kupigwa mashine.Bi Omary fighting on behalf of her man.
Kweli mapenz yanarun dunia
Tabu wanajua Ali kaboronga
Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na aali ndio akandandia baada ya lile bifu.
Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.
Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa
Hawa wanakwaya wamekurupuka aisee...Naseeb na team yake wamepanic wanaonyesha wanapambana na Ali kwa nguvu zote. Tumemjua anayeleta bifu nani! Ali mmoja kikundi na wanamuziki wanapanikije? Wcb wasajili mtu mwenye busara awaongoze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani aliyeanza hizi chokochoko ni nani? Mbona mnajitoa akili hivyo....Hahahaha all in all ...Diamond ni msanii alofanikisha afrika mashariki mpaka kiafrika naduniani ,,huyu jamaa tukiachana na unafiki wa kitanzania jamaa anajielewa na anajua kazi yake na anaipenda kweli ..nahuyo ndo diamond ..
Huu mwingine ni unafiki tu sanasana hao akina ommy ndio wanatafuta jina kupitia diamond ...
Ningekua diamond ningekaa kimya ili nisiwape kabisa .