Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

Tabu wanajua Ali kaboronga

Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na aali ndio akandandia baada ya lile bifu.

Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.

Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa
Huna jipya wewe pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7b78eb8d9f401c6f809c939d2d1d6241.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha lmefka patam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabu wanajua Ali kaboronga

Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na aali ndio akandandia baada ya lile bifu.

Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.

Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa
Mpaka nimeanza kuhisi kiba ni bwana ake only sio kwa ommy kumpigania hivyo haiingii akilini
 
Bi Omary fighting on behalf of her man.

Kweli mapenz yanarun dunia
 
Ila ommy dimpoz akili zake anazijua yeye mwenyewe ..........duuu
 
Huyu mshikaji ni mswahili kinomaaaaa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Tupogo [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] sasa hivi kawa mwanamuziki wa Instagram. Wenzie wanafanyakazi yeye kutwa majungu kama Mangi Kimambe
 
Hahahaha all in all ...Diamond ni msanii alofanikisha afrika mashariki mpaka kiafrika naduniani ,,huyu jamaa tukiachana na unafiki wa kitanzania jamaa anajielewa na anajua kazi yake na anaipenda kweli ..nahuyo ndo diamond ..

Huu mwingine ni unafiki tu sanasana hao akina ommy ndio wanatafuta jina kupitia diamond ...

Ningekua diamond ningekaa kimya ili nisiwape kabisa .
 
Tabu wanajua Ali kaboronga

Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na aali ndio akandandia baada ya lile bifu.

Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.

Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa

Mchezo upi Cocochannel?
 
Hahahaha all in all ...Diamond ni msanii alofanikisha afrika mashariki mpaka kiafrika naduniani ,,huyu jamaa tukiachana na unafiki wa kitanzania jamaa anajielewa na anajua kazi yake na anaipenda kweli ..nahuyo ndo diamond ..

Huu mwingine ni unafiki tu sanasana hao akina ommy ndio wanatafuta jina kupitia diamond ...

Ningekua diamond ningekaa kimya ili nisiwape kabisa .
Kwani aliyeanza hizi chokochoko ni nani? Mbona mnajitoa akili hivyo....
 
Aliyeelewa maana jaman msaada anitafsirie

invest what you are willing to lose
 
Back
Top Bottom