Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

Kundi la watu saba linaposhindwa na mtu mmoja.
 
weka maneno yako vizuri alikiba ndie aliepost siku 1 kabla ya wimbo kuachiwa ,diamond ilisikika atatoa ngoma tareh 1 aliomshirikisha patoranking lakini naona kabadili ratiba ghafla ,je hapo unaonaje?

Madaraka ya kulevya
 
Sjawai ona or sikia nyimbo mbaya kama hii ya Ali k..huyu jamaa anashindana kweli au anafanya utani
 
Naseeb na team yake wamepanic wanaonyesha wanapambana na Ali kwa nguvu zote. Tumemjua anayeleta bifu nani! Ali mmoja kikundi na wanamuziki wanapanikije? Wcb wasajili mtu mwenye busara awaongoze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ulitaka Diamond asitoe wimbo kwa sababu Kiba katoa?
 
Ommy mshamba tu. Nani sasa hivi shabiki wa Ommy!!!??? Toka aanze kutoa nyimbo zisizo eleweka amekosa Kazi ya kufanya na kukaa pembeni ya bwana ake Ali kiba kugombana na wcB . akachezee mashine huko
 
Na hata alivyosema Fid q watu hawakuelewa ommy angechukua beat ya Fresh na kutoa diss track

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna dongo lake hivyo lazima povu limtoke

wakina man ndojo,
....... na iyobo
wakina tupogo,

alafu akaja kuuwa kabisa

wengine wabeba vyuma na hakuna malindaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…