Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

Huu ndo ujumbe wa Ommy Dimpoz baada ya WCB kutoa ngoma mpya, bifu bado linaendelea

Kundi la watu saba linaposhindwa na mtu mmoja.
 
Tabu wanajua Ali kaboronga

Na ilishajulikana WCB kuwa watatoa mwimbo leo na aali ndio akandandia baada ya lile bifu.

Ommy anawashwa na kitu.. anazidi kuharibu kabisa.. kwa kuonyesha mwenzake tamemshinda.. quality za video eeeeh ile ya kwanza kutoka ni majanga.

Wanampigia promo Diamond bab kubwaaaa eeeh.. halafu huyu anapenda sana ule mchezo shaaaaa
weka maneno yako vizuri alikiba ndie aliepost siku 1 kabla ya wimbo kuachiwa ,diamond ilisikika atatoa ngoma tareh 1 aliomshirikisha patoranking lakini naona kabadili ratiba ghafla ,je hapo unaonaje?

Madaraka ya kulevya
 
Sjawai ona or sikia nyimbo mbaya kama hii ya Ali k..huyu jamaa anashindana kweli au anafanya utani
 
Ommy mshamba tu. Nani sasa hivi shabiki wa Ommy!!!??? Toka aanze kutoa nyimbo zisizo eleweka amekosa Kazi ya kufanya na kukaa pembeni ya bwana ake Ali kiba kugombana na wcB . akachezee mashine huko
 
wanamuziki watz tatizo hawajui kutumia hizi nafasi,hili bifu lingeingiza pesa ndefu sana kama wangedili na kutoleana povu kwenye muziki kuliko kwenye social networks,huku hakuna pesa inayoingia fujo tuu unasababisha watu watukanane bila sababu wakati ungeweka nyimbo wangebishana kwa mistari ya kwenye muziki
Na hata alivyosema Fid q watu hawakuelewa ommy angechukua beat ya Fresh na kutoa diss track

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna dongo lake hivyo lazima povu limtoke

wakina man ndojo,
....... na iyobo
wakina tupogo,

alafu akaja kuuwa kabisa

wengine wabeba vyuma na hakuna malindaaaaaa
 
Back
Top Bottom