Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaiiseee umenifanya niogope kabisa kwenda MaraKuna jamaa moja alikwenda Tarime, akiwa amekaa bar anakunywa bia yake akaja jamaa ana panga na rungu halafu ana makovu kibao usoni
Akamsalia huyo mgeni: hujambo mrembo? jamaa akabaki anamsahangaa tu.
Akarudia hujambo mrembo? Jamaa kwa uoga akaitikia sijambo!
Akamwambia yule jamaa - ole wako usinge itikia ungejua mi nina, shenzi we mwanaume gani huna kovu? Halafu huyoo akasepa, huyo mgeni akabaki anatetemeke tu asijue la kufanya.
Hiyo ndy tarime.
Huko usishangae watu wanakwenda disco na panga na rungu, kwao ni jambo la kawaida.Aaiiseee umenifanya niogope kabisa kwenda Mara
kuna jamaa yangu ni askari kule,aliniambia wanakatana na kuuana kwa sababu ya bifu za familia,yani familia moja ikifanya shambulizi kwa family nyingine,bas wanaua kila kitu chenye uhai hata mgomba nk.Mnafyeka mpaka migomba Nani aje huko kiumeni?
Nyie ndo mnaofanya Mara ibaki nyuma kutokana na fikra zenu ovu kuwa Mkoa Mara na watu wake sio wema.Mi nafanya kazi mara .. acha kudanganya
Sasa amedanganya nini hapo, ni watu kama wewe ndiyo mnatuletea sifa mbaya!Mi nafanya kazi mara .. acha kudanganya
Kanda maalumu si ni maneneo mawili tu kama ilivyo kwa Dar es salaam ambako kila kukicha mnakimbilia huko mwishoe mnakuwa wanaume wa Dar es salaam.!!!!!Acha kutudanganya mkuu
Jiulize kwanini kuna Kanda maalum ya kipolisi ya Tarime-Rorya?