Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] wazee wa 'Upho jheshi ghani.?!' (In Wakurya ascent)nasikia kuna kibao kimeandikwa SASA UNAINGIA MKOA WA MARA wakati sehemu zingine wanaandika mfano KARIBU MKOA WA KILIMANJARO
Mmh hiyo hatari,, hivi bado hawajabadilika???Hospitali ya milembe kiuhalisia ilitakiwa ijengwe kule maana hata kwa macho unaweza kujua kuwa kuna wagonjwa wengi wa akili.......
Inawezekana vipi mtu mwenye akili timamu akamuua mke wake kipenzi au kumtia ulemavu wa kudumu kwa kosa tu la kuchelewa kisimani....!!??
Ni ******** pekee na mgonjwa wa akili mwenye kuweza kuyafanya hayo....
Alikufa.?Nimeishi Mara, mazingira mazuri, jamii iko hovyo (japo si wote). Walimchinja rafiki angu aliyeajiriwa kama mwl wa Secondari kisa kudai hela alomkopa mwenyeji. Real Mara pana mapepo ya damu
Mi ni nyumban napapenda sana kwa sababu ni nyumban, lkn huwa nikienda likizo nashuhudia mambo ya ajabu mpk naogopa, ila mambo yatakuwa mazuri tu karibuni sana hasa walimu na Polisi ili mtubadilishie watu.
Kaoge au Godfrey Masunga, ni msukuma si wa Mara huyo, ingawa Mara imemuathiri ana confidence balaa kwa ujinga anaofanya
mkuu yamekutoka moyoni mno,hongera kwa kuwa mzalendo kwa mji wako/kwenu...maana mkataa kwao hakika ni mtumwa.Imefika kipindi muache kutuangalia kwa jicho la chuki, haiwezekani kila kinachooneshwa mara flani kakatwa, flani kachinjwa hiyo ni tabia ya mtu sio sote pia majanga yapo kila kona sio Mara Pekee, kuna Mengi ya kufurahisha kuhusu Mara sio hayo tu yanayokuzwa na vyombo vya habari, Karibuni Mara Amani Ipo Mje Kuoa kuwekeza na Kuishi, Usisikie tu Njoo Ujionee mwenyewe mengi mnayosikia Ni Uzushi Tu, Hakuna Kitu kama Hicho.
kwani watu ni wakarimu na Amani imetawala mengi yanayoenezwa ni propaganda za mitandao tu na chuki binafsi kwani Majanga Yapo kila sehemu. Wenyeji wake ni wakarimu na wapenda amani, Ni Mkoa wenye Amani na Upendo.
Ukifikiria kuitembelea Kanda ya Ziwa, Usisite kuja Mara, Japo yanasemwa Mengi ni Uzushi tu.
Karibuni Sana.
Mmh hiyo hatari,, hivi bado hawajabadilika???
Ni kwa sababu ya usalama wa mipaka na wizi wa mifugo kutokea nchi jirani ya kenyaAcha kutudanganya mkuu
Jiulize kwanini kuna Kanda maalum ya kipolisi ya Tarime-Rorya?
Unayoyasikia ni tofauti na hali halisi karibu uje uwekezeSiku nikichoka kuishi nitakuja mara, kwa sasa sidanganyiki
Hii ilisababishwa na mapigano hasa wizi wa ng'ombe kutoka nchi jirani ila shukrani kwa kanda maalum wizi wa ng'ombe umekomeshwaMkoa unaoongoza kuwa na walemavu wa viungo vya mwili kisa kugechana muraaa
Uzi wangu unahusiana na mahali napotoka sababu napaelewa vizuri ila hiyo signature kiukweli hawa dada zetu wanachohitaji ni kuwachukulia kama walivyo ila ukisema ujitahidi kuwaelewa utapasua kichwa chako.NAOMBA UNIPE TOFAUTI YA ''GENERALIZATION'' kati ya Uzi wako na Signature yako..
Sio kweli watu wote ni hatari ndo maana hatulali milango wazi. Karibu sanaMara ni nzuri mazingira lakini watu wake hatari!