A
Anonymous
Guest
Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), ulipaji wa ada wameweka kwa awamu nne kwa mwaka, Semester ya kwanza awamu mbili na ya pili awamu mbili.
Ajabu wameweka deadline ya kulipa ada na mtu akichelewa kulipa anapigwa penalty ya 50k ina maana kwa awamu zote nne akichelewa kulipa ataongeza 200k nje na ada aliyotakiwa kulipa.
Sijui hawaelewi kwamba mtu anachelewa kulipa kwa kuwa hana na kama hana huo mlima anaoongezewa wa 200k si ndio kabisa ataondoka shule.
Kingine mitihani inalipiwa tofauti na ada iko kwenye direct cost. Mwanafunzi kama hajalipa ada lakini mitihani amelipia anakatazwa kufanya mitihani! Sasa kwa nini akatazwe kufanya mitihani ilihali keshailipia?
Serikali ya wanafunzi nayo imekaa kimya kazi kuleta maagizo kutoka utawala kuja kwa wanafunzi badala ya kutetea haki za wanafunzi!
Pia hatukatai ni chuo cha kanisa lakini kimejutanabahisha kutoa huduma kwa watu wote! Cha kushangaza kukiwa na ibada wanavunja masomo. Pia wanafunga mageti ili watu wasiweze kutoka ndani! Hiyo si kuwalazimisha wanafunzi wasio wakatoliki kushiriki ibada za katoliki!
Nimeweka maelezo juu ya uonevu wanaofanyiwa wanafunzi wa RUCU hii ni picha ya ushahidi