Nafikiri wanaficha tatizo kubw ambali ni kupungua kwa kina cha maji kinachotokana na ukameMkuu hizi ni hujuma...
Ni hujuma tuu....
Arusha giza tororo....Hawataki kutangaza ila naamini kuna mgao, umeme umekatika tangu asubuhi ndio umerudishwa sasa hivi, kama ni hujuma za makusudi walaaniwe wote wanaofanya huu mchezo wa kihuni, wapo wanaojitafutia riziki zao kwa kutumia umeme wanapowakatia bila taarifa siku nzima wanataka wakale wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣Watakuwa walishafungulia bwawa
Dar es salaam hakuna umeme maeneo ya Chanika tangu jana na leo siku nzima hakukuwepo umeme hadi hivi niandikapo.
Je, ni halali Tanesco kupokea pesa kutoka kwa wateja wake halafu wagome kutoa huduma?...
Kweli mambo ni zamu kwa zamu, zama hizi ni zamu ya masikini kuishi kama mashetwani…Wanasema hakuna shida ya maji wala umeme ,ukiwa na hela hauwezi kufeel kama kuna mgao wa maji wala umeme.
Umeset Generator Auto Mode kwenye ChangeOverSwitch -Umeme ukikatika Generator inapick load then Una reservoir yenye capacity ya litre elfu 50 sasa sijui kama utafeel migao yao.