Huu ni mgao wa umeme au mabwawa yamekauka?

Sisi hadi muda huu tangia asubuhi haujarudi
 

Ndo mjue uncle magu hakutaka kucheka na vima kwenye shamba..sasa nasema na mgao uendelee
 
Watu wakilalamikia matatizo ambayo tulishayasahau wanaitwa sukuma gang, Yan sijui kuna kikundi cha watu kimeundwa kwenye mitandao kusifia tu!
Sasa hivi hilo neno limeanza kufifia taaratibu maana uzuri wa msoto wa style hii tunaumia wote bila kujali itikadi na unazi ndezi…
 
Kwan huna jenereta unakaa kulalama hpa JF!
Mkuu hebu acha utani kwenye mambo ya msingi!!. Hili ni shirika la umma linaloendeshwa kwa kodi za wananchi. Kama unaona ni heri kwa kila mtu kununua generator yake, basi hakuna sababu ya kuwa na shirika linaloitwa Tanesco. Naamini una uwezo wa kuliona hili na bila shaka kuelewa ni kwa nini nalalamika kwenye Forum hii.
 
Mi nahisi ni maji hakuna,maana visima navyo vimekauka maji hakuna.Tutubu Yesu u karibu wajamen( )
Kuna kipindi tumeuliza humu kuwa kipindi cha Magufuri mbona hayakutokea haya na tulipitia kipindi cha ukame?wakajibu Magufuri alibebwa na umeme wa gesi aliotuachia Kikwete, sasahivi sijui Magufuri kafa na gesi;Kuna watu hawataki kukili kuwa Magufuri alikuwa habari nyingine,hapa vichwa vingeliisha liwa,kwanza wasingelisubutu kufanya huu mchezo,hii ni biashara ya rafiki zake Makamba,ili kuuza majenereta yaliododa kwa miaka 5,kuhujumu Bwawa la lufiji.
 
Watu wakilalamikia matatizo ambayo tulishayasahau wanaitwa sukuma gang, Yan sijui kuna kikundi cha watu kimeundwa kwenye mitandao kusifia tu!
Kuna tatizo kubwa la hata upinzani ku invest kukosoa matunda ya Magu. Ndiyo mana weakness za serikali ya sasa wanazitafutia sababu. Kwao legacy ya Magu ndiyo tishio la kukubaliwa kwao kuliko hata Presidaa anayetawala.
Soma posts hata JF utagundua kuna mpango maalumu unaoongozwa na manazi wa chama cha upinzani kushinda kumshambulia Magu na viongozi wote waliokuwa wanaEliwaza na Magu.
Wanajua wakivunja imani za watu kwa Magu ni rahisi wao kupenya
 
Dunia nzima inasema.maji ya mwenyezi Mungu tuliyopewa bure tuyatunze .... hili nakubali kwa mto Ruvu.

Haya mto Ruvu kau, maji dar mgawo...hivi sasa tupo Rufiji tunahangaika na technologia ya mwaka 1900 ya kuzalisha umeme kwa kutumia maji wakati tuna gesi na urani kibao.

CCM mawazo yake huwa ni backwards..
 
Mama hana mpango wakusoma maoni ya wananchi
 
Najiulizaga hivi haiwezekani kutumia maji ya bahari ambayo ndo mengi na ya uhakika kupatikana kuliko mto ruvu katika kufua umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…