Cloud Computing
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 334
- 85
Ahsante sana Ushauri mzuri hasa kwa wanaopata kipato cha juu kuanzia laki nne kwenda jui jaribu kufikiri kwa mtu anapata net salary ya 364,000/-
hanywi pombe., si muhongaji wa hela..
ni mvulana anajipikia
anategemewa na wadogo zake watatu wapo sekondari wawili ni private school
Kuna hela ya nauli kwenda kazini
Fungu la kumi ,zaka na sadaka.
Hela ya Umeme na maji karibu 30,000 kwa mwezi..
Chakula siri gengeni sawa..
Hebu hapo msaada kidogo ndugi yangu mchunguzi huru
mkuu, mkuze mwanao katika mazingira ya saving, itakuja kumsaidia sana atakapokua mtu mzima. Imagine mtu mzima chuoni analia eti matumizi mabaya ya pesa! mtu ana degree yake kabisa ya economics ama finance or whatsever, still finance inakuwa tabu kwake!... sometimes elimu inashindwa kutubadilisha kutokana na misingi mibovu tuliyoachiwa na walezi pamoja na wazazi wetu...Excel, nina kidude artwork flani hivi cha mawe. Kiko kama kikapu na kimebebwa na sungura. Huwa natupia coins zote zinazokuwa kwenye pochi ama wallet. Kuna siku nilikuwa sina mia, kuhesabu coins nikapata buku 7. Kama 7 ama 8 years back, hiyo hela ilinitosha mafuta ya kuzungukia two days.
ni kweli savings kidogo tu inaleta tafauti