Huu ni mkakati maalumu wa kupata pesa

Huu ni mkakati maalumu wa kupata pesa

Inawezekana kufanya mengi ya hayo, ila suala la kumpa hela mtu muhitaji hilo siliwezi kabisa. Yani i have it in me, nimeshindwa kabisa kuacha suala la kumpa mtu pesa hata kama najiumiza mimi, sometimes nahisi labda nipo hivyo ili wengine waishi.
 
asante mkuu..mwezi huu natoa ela ya mwisho ya mchango wa harusi baada ya hapo naanza njia ya kuhifadhi ela ulizoelekeza..................barikiwa...after one year ntaleta mrejesho nimeserve shi ngap
 
Ahsante sana Ushauri mzuri hasa kwa wanaopata kipato cha juu kuanzia laki nne kwenda jui jaribu kufikiri kwa mtu anapata net salary ya 364,000/-
hanywi pombe., si muhongaji wa hela..
ni mvulana anajipikia
anategemewa na wadogo zake watatu wapo sekondari wawili ni private school
Kuna hela ya nauli kwenda kazini
Fungu la kumi ,zaka na sadaka.
Hela ya Umeme na maji karibu 30,000 kwa mwezi..
Chakula siri gengeni sawa..

Hebu hapo msaada kidogo ndugi yangu mchunguzi huru

hii inahualisia kabisaaaa mkuu
 
kuna kipindi nilitaka kuona napoteza shs ngapi kwa coin ninazotumia ovyo ovyo kwa kila semister hapa chuoni, basi nilipanga mkakati wa kuwa narusha coin yoyote ile inayobaki ndani ya mikono yangu ikiwa idle..

Nilifanya hilo zoezi dogo kwa miezi hio minne, nilipokuja kuzihesabu hizo mia mia na mia mbili mbili, duh! sikuamini, nilijikuta nina shs elfu 40 na ushee hivi!

Saving ni muhimu sana, hii njia ya doctor mchunguzi ni nzuri sana!
 
Excel, nina kidude artwork flani hivi cha mawe. Kiko kama kikapu na kimebebwa na sungura. Huwa natupia coins zote zinazokuwa kwenye pochi ama wallet. Kuna siku nilikuwa sina mia, kuhesabu coins nikapata buku 7. Kama 7 ama 8 years back, hiyo hela ilinitosha mafuta ya kuzungukia two days.

ni kweli savings kidogo tu inaleta tafauti
 
Last edited by a moderator:
Maisha sio pesa tu na mahusiano i muhimu sana. Tunatumia kudumisha mahusiano. Utajiri wako ni muhimu ujumuisha na ubora na kiwango cha marafiki.
 
Excel, nina kidude artwork flani hivi cha mawe. Kiko kama kikapu na kimebebwa na sungura. Huwa natupia coins zote zinazokuwa kwenye pochi ama wallet. Kuna siku nilikuwa sina mia, kuhesabu coins nikapata buku 7. Kama 7 ama 8 years back, hiyo hela ilinitosha mafuta ya kuzungukia two days.

ni kweli savings kidogo tu inaleta tafauti
mkuu, mkuze mwanao katika mazingira ya saving, itakuja kumsaidia sana atakapokua mtu mzima. Imagine mtu mzima chuoni analia eti matumizi mabaya ya pesa! mtu ana degree yake kabisa ya economics ama finance or whatsever, still finance inakuwa tabu kwake!... sometimes elimu inashindwa kutubadilisha kutokana na misingi mibovu tuliyoachiwa na walezi pamoja na wazazi wetu...

sis, mkunje mwanao mapema!...

usiku mwema!
 
kwahiyo hizo fedha naziifadhi ili nije nizifanyie nini?? hadi supu nisinywe eti chaiya rangi na chapati nije nizitumie nikiwa nimekongoroka??
 
Back
Top Bottom