Huu ni moja wa ushauri bora niliwahi kuona mtu akipewa JF. Yani uko simple na precise ila unafikirisha.

Mad Max Extrovert kwa bajeti tsh milioni 21, kwa durability nichukue athlete, premio, camry, auris, alphard, allex, wish new model au succeed ya miaka ya karibuni

Karibuni wakuu
 
Hii chuma hata v8 kukukamata ijipange.
πŸ˜πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜‚Inategemea Mambo Mengi Sana Uwapo Barabarani
 
πŸ˜ƒmfano?nazungumzia wote madereva wazuri,mmoja anahiyo na mwingine Ana v8.vumbi litaruka!!
Ndiyo Maana Nikasema Hivyo Barabara Za Bongo Na Mashimo Hiyo Haiwezi Inataka Dereva Mzuri Pia Njia
 
Mad Max Extrovert kwa bajeti tsh milioni 21, kwa durability nichukue athlete, premio, camry, auris, alphard, allex, wish new model au succeed ya miaka ya karibuni

Karibuni wakuu
Karibu ofisini boss tukuagizie na kukutolea bandarini. Kwa ushauri wangu hapo toyota premio ni gari nzuri sana,, lakini kama ni mtu unafamilia kubwa na huwa unapenda kutoka nao chukua alphard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…