Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa manara anaingiaje cjuiTatizo ni kuweka hawa kina manara wasio na weledi, ni uswahili mtupu
Pamoja na yote, Hans Pope ni kiboko [emoji41]
Huyo watakesha, kazi wanayo [emoji41]Kiboko yao siyo
Hivi vilabu vikongwe vina uswahili mno nadhani tatizo ni viongozi wakuu wa hivi vilabu.Ujinga sana, badala ya kufikiria kupambana na TP Mazembe, Al ahly, Zamalek, wanaishia kulumbana tu, timu zimejaa ujinga ujinga tu
Mkuu kama Senzo kajiuzulu, kuna ubaya gani Yanga kumwajiri wakiamini atawasaidia? Simba wanazingua, wanafanya ujinga na kwa kuwa wamejazana tff wameshindwa hata kuamua kesi ya mkataba wa Morrison. We unadhani kuna utata gani kwenye suala la Morrison? Simba wamejitangaza wao ni miamba, wanaweza kufanya lolote watakalo. Yanga hatutakubali kuburuzwa na mtoto wetu wenyewwKuna wakati inabidi tuachane na ushabiki wa wa hizi timu za kariakoo na kukosoa bila ushabiki
Kinachoendelea ni ushamba Na hakipaswi kabisa kushabikiwa.
Simba kujaribu kumchukua Morrison ni ushamba sana.
Yanga kumchukua CEO wa Simba ushamba pia sana, sana.
Hii vita ya kukomoana ushamba mtupu, haisaidii lolote kwenye mpira, sana sana linavunja moyo.
Wachezaji ambao ni decent na loyal kwa timu wanaona kumbe kuhamahama hizi timu ndo unapata hela unayotaka.
Tukemee huu ushamba.
Huenda TFF ipo njia panda haijui isimame wapi.Tatizo kubwa ni TFF yaani inshu ya dakika 60 wao wanaifanya miezi mi 3
Luc hakukosea kusema mashabiki wa Utopolo wanaropoka ka manyani.Mkuu kama Senzo kajiuzulu, kuna ubaya gani Yanga kumwajiri wakiamini atawasaidia? Simba wanazingua, wanafanya ujinga na kwa kuwa wamejazana tff wameshindwa hata kuamua kesi ya mkataba wa Morrison. We unadhani kuna utata gani kwenye suala la Morrison? Simba wamejitangaza wao ni miamba, wanaweza kufanya lolote watakalo. Yanga hatutakubali kuburuzwa na mtoto wetu wenyeww
Mkuu haina haja ya kuhangaika kesho itafika mbona.Luc hakukosea kusema mashabiki wa Utopolo wanaropoka ka manyani.
Mwenyekiti wa Kamati ni Yanga lia lia afu ameshindwa kuamua kesi bado unawalaumu TFF.
Hivi kama Yanga wangekua na documents sahihi za mkataba na Morison kulikua na haja gani ya kuchelewa kuamua wakati documents zinajionesha. Kwa hali inavyoonesha ni kwamba mkataba wa Morrison na Yanga ulikua wa magumashi ndo maana inakua shida kuamua ipi ni nyeupe na ipi ni nyeusi.
Saizi tunaambiwa eti kuna baadhi ya nyaraka zinatakiwa ziletwe kesho ili uamuzi utoke.
Luc hakukosea kusema mashabiki wa Utopolo wanaropoka ka manyani.
Mwenyekiti wa Kamati ni Yanga lia lia afu ameshindwa kuamua kesi bado unawalaumu TFF.
Hivi kama Yanga wangekua na documents sahihi za mkataba na Morison kulikua na haja gani ya kuchelewa kuamua wakati documents zinajionesha. Kwa hali inavyoonesha ni kwamba mkataba wa Morrison na Yanga ulikua wa magumashi ndo maana inakua shida kuamua ipi ni nyeupe na ipi ni nyeusi.
Saizi tunaambiwa eti kuna baadhi ya nyaraka zinatakiwa ziletwe kesho ili uamuzi utoke.
Ko hao tu ndo wanaoharibu Mpira mzima wa bongo?Hans Pope,Manara na Magori ni kirusi cha Soka la Bongo,na pia sioni usomi na credibility ya MO katika hili amekubali kuendeshwa kama gari bovu na hao Waswahili.
Ahahahaha hiki kituko sasa
kwenye hili weka uYanga pembeni jadili kama GT,sawa?Hans Pope,Manara na Magori ni kirusi cha Soka la Bongo,na pia sioni usomi na credibility ya MO katika hili amekubali kuendeshwa kama gari bovu na hao Waswahili.
Hasa Manara na Hans PopeNimewatoa thamani kabisa hizi timu. sio Yanga wala Simba woooote ni mafala tu
Yanga tangu uongozi wa Msolla uingie ushaona tunafanya mambo ya kipumbavu ya kuchukuliana Wachezaji kijinga bila taratibu na kukomoana?kwenye hili weka uYanga pembeni jadili kama GT,sawa?
Huja sikia manara alivyo kua ana bwatuka anatisha watu kua hii serikali sio zile walizo zoea?Hapa manara anaingiaje cjui
nikweli kabisa.Kuna wakati inabidi tuachane na ushabiki wa wa hizi timu za kariakoo na kukosoa bila ushabiki