Huu ni msimu wa kujua uhalisia wa kuelekea uchaguzi watu

Huu ni msimu wa kujua uhalisia wa kuelekea uchaguzi watu

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Msimu wa inzi kufuata uvundo umeingia. Utaona na kusikia mengi. Kila mchumia tumbo atahama chama.

Kila changudoa wa kisiasa atapata bwana mpya. Yote ni sababu ya njaa, ujinga, unafiki, uzwazwa na utapiamlo kiakili.

Namna hii, kweli Rais mbeba maono, mwanasayansi, mchumi maarufu na muweza wa yote ameonesha maono na miujiza yake.

Tumshukuru sana mheshimiwa Rais Samia.
 
Back
Top Bottom