Huu ni muda muafaka wa kuja na Sera mpya ya ulinzi dhidi ya uvamizi wa kikoloni!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai.

Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze kuishi ni mkakati ulio rasmi.

Sasa ni busara kwetu kama Taifa kufikiri upya na kuja na sera mahsusi ya kukabiliana na unyang'anyi huo uliopangwa ...dunia hii hakuna wa kutuhurumia ...bali ni kujiongeza ili kusurvive....

Mawaziri wote warejeshe vichwa vyao katika kubuni sera za kipekee na sio show off za ITV za kuropokea subordinates....nyakati hizo ni nzito.

KIPIMO CHA UWAZIRI NI SERA MPYA YENYE KUISHI MIONGO MINGI MBELE NA SIO VINGINEVYO!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
You guys are funny 😂
 
Kama WANANCHI wako HAWAKUPENDI. Hakuna VITA UTASHINDA.

Kila ADUI atakayekuja, wananchi wako watampokea kama MKOMBOZI na UTAPIGIKA vibaya sana.

Leo UNAGEUZIA BUNDUKI ZA KIVITA RAIA wako MWENYEWE, then unategemea UTASHINDA vita???
 
Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai.

Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze kuishi ni mkakati ulio rasmi.

Sasa ni busara kwetu kama Taifa kufikiri upya na kuja na sera mahsusi ya kukabiliana na unyang'anyi huo uliopangwa ...dunia hii hakuna wa kutuhurumia ...bali ni kujiongeza ili kusurvive....

Mawaziri wote warejeshe vichwa vyao katika kubuni sera za kipekee na sio show off za ITV za kuropokea subordinates....nyakati hizo ni nzito.

KIPIMO CHA UWAZIRI NI SERA MPYA YENYE KUISHI MIONGO MINGI MBELE NA SIO VINGINEVYO!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Ni kweli hamjui tatizo kuu la Tanzania ni genge la Samia kuliko hata wakoloni?
 
Kabla ya kuua maelfu ya watu na kupora uchaguzi tulikuwa tunashangilia kwenda huko ulaya kutembeza bakuli eti tunafungua nchi ghafla tumeanza tena hizi stori za mabeberu
 
Kufungua nchi ni sera rasmi na haikuanza na Samia ...rejea Zinduzi za Mwisho wakati wa Membe utaona sera ya diplomasia ya uchumi ikizinduliwa.
Tatizo hamfuatilii mambo
 
Anzeni kwa kuacha kuwafukuza Wamasai katika ardhi yao Ngorongoro.
Fanyeni uchaguzi wa kweli
Mwarabu wa DP World arudishe bandari ya Tanganyika
Uongozi wa Taifa usiwe wa ndugu, jamaa na marafiki
Utekaji ukomeshwe.
 
Sijui umeongea vitu gani. Yaani tarehe 28 ya mwezi January wa 2026 unatujia na uzi wa mapambano ya ukoloni,wakoloni gani hao mpumbavu mkubwa wewe?
 
Back
Top Bottom