You guys are funny 😂Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai.
Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze kuishi ni mkakati ulio rasmi.
Sasa ni busara kwetu kama Taifa kufikiri upya na kuja na sera mahsusi ya kukabiliana na unyang'anyi huo uliopangwa ...dunia hii hakuna wa kutuhurumia ...bali ni kujiongeza ili kusurvive....
Mawaziri wote warejeshe vichwa vyao katika kubuni sera za kipekee na sio show off za ITV za kuropokea subordinates....nyakati hizo ni nzito.
KIPIMO CHA UWAZIRI NI SERA MPYA YENYE KUISHI MIONGO MINGI MBELE NA SIO VINGINEVYO!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kama WANANCHI wako HAWAKUPENDI. Hakuna VITA UTASHINDA.Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai.
Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze kuishi ni mkakati ulio rasmi.
Sasa ni busara kwetu kama Taifa kufikiri upya na kuja na sera mahsusi ya kukabiliana na unyang'anyi huo uliopangwa ...dunia hii hakuna wa kutuhurumia ...bali ni kujiongeza ili kusurvive....
Mawaziri wote warejeshe vichwa vyao katika kubuni sera za kipekee na sio show off za ITV za kuropokea subordinates....nyakati hizo ni nzito.
KIPIMO CHA UWAZIRI NI SERA MPYA YENYE KUISHI MIONGO MINGI MBELE NA SIO VINGINEVYO!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai.
Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze kuishi ni mkakati ulio rasmi.
Sasa ni busara kwetu kama Taifa kufikiri upya na kuja na sera mahsusi ya kukabiliana na unyang'anyi huo uliopangwa ...dunia hii hakuna wa kutuhurumia ...bali ni kujiongeza ili kusurvive....
Mawaziri wote warejeshe vichwa vyao katika kubuni sera za kipekee na sio show off za ITV za kuropokea subordinates....nyakati hizo ni nzito.
KIPIMO CHA UWAZIRI NI SERA MPYA YENYE KUISHI MIONGO MINGI MBELE NA SIO VINGINEVYO!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kufungua nchi ni sera rasmi na haikuanza na Samia ...rejea Zinduzi za Mwisho wakati wa Membe utaona sera ya diplomasia ya uchumi ikizinduliwa.Kabla ya kuua maelfu ya watu na kupora uchaguzi tulikuwa tunashangilia kwenda huko ulaya kutembeza bakuli eti tunafungua nchi ghafla tumeanza tena hizi stori za mabeberu