passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Nataka niwaambie viongozi kwamba huu ni muda wa mabadiko.watu wanaona nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini. piakuna,Rushwa,ufisadi,matumi zi mabaya ya madaraka Nk atakayetaka zuia mabadiliko hakika ataishia pabaya kama ambavyo yalivyo mabadiliko duniani kote.
Sure ni wakati wa muamsho Afrika viongozi wasikaze vichwa tu waruhusu madaliko kwa njia ya amani kwa sababu hawatazuia kwa namna yoyote ile.No reforms, no election.
Hawataweza kuzuia mabadiliko.
Kama ambavyo yalivyo mabadiliko Madagascarkama ambavyo yalivyo mabadiliko duniani kote.
a.k.a sub timeNataka niwaambie viongozi kwamba huu ni muda wa mabadiko, watu wanaona nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini.
Pia kuna, Rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka n.k, atakayetaka zuia mabadiliko hakika ataishia pabaya kama ambavyo yalivyo mabadiliko duniani kote.