Huu ni mwaka 2019, Hamisa Mobeto ana miaka 24, Wema Sepetu miaka 28

Habari ya jumapili, wale mnaenda kusali ibada njema.

Miaka inaongezeka miaka inabadilika ila sio umri wa wasanii wetu.

Huu ni mwaka 2019, wema sepetu ana miaka 28, Hamisa ana miaka 24 ingawa mwaka juzi alidai alianza kutoka na Diamond akiwa na miaka 14, yaani alupomaliza tu la saba akaanza kula uroda na Diamond.

Wema yeye mwaka 2006 aliukwaa umisi Tanzania, sheria za umisi ni uwe na miaka 18 hadi 22, ukichukulia mwaka 2006 alikua na miaka 19, jumlisha 13 hadi 2019 ni miaka 32, ila yeye anadai ana 28, nimesoma hesabu ila hizi za wema ni hesabu mpya kwenye maisha yangu, labda watoto wetu watakuja kuzisoma.

Wasanii wa bongo kila mwaka ni besidei ila hawasemi ni miaka mingapi, Lady JD kila mwaka anafanya besidei ula hasemi miaka yake ingawa waliosoma nae darasa moja wako kwenye early 50s na wengina late 40s. Umri kwa wasanii wa bongo ni kama dhambi, hawataki ijulikane.

Irene uwoya kila mwaka ni besidei ila kwa miaka isiyojulikama, unasikia tu ametimiza miaka kadhaa. Juzi nimesikia bondia Dulla Mbabe ana miaka 21, nilihisi kufa, Diamond yeye kila mwaka ana miaka 28.

Ukienda kwenye mpira ndio balaa, unakuta mchezaji ana mdogo wake wa kiume, huyo mdogo wake ana mtoto wa miaka 15, chukulia huyo mdogo wa mchezaji alipata mtoto akiwa na miaka 15 au 16 ila kaka yake ambae ni mchezaji yeye ana miaka 23, yaani kumbe Tanzania inawezekana kabisa mtu kumzaa kaka yake aliemtangulia kuzaliwa.

Karibuni tunywe chai.
Naaaam maneno kuntu haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mademu wengi wakifikisha miaka 26 ya umri wanajaa hofu na suluhisho kwao ni kusimamisha miaka kohkojkohkohkohkohkoh

Ndani ya bongo mambo super spot hapana matata, bitoz nyangema anataka aitwe tupac, huwez tofautisha yupi wa geti kali na yupi wa kigogo woote wanameremeta utafkiri ni chato mwanangu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nsajigwa wa yanga ana miaka 22.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hawa labda tuwaanzishie mamlaka yao ambayo itakuwa inatoa umri *elekezi "kwa wasanii kwa sababu hawako tayari miaka yao kamili ijulikane,

Kwa hiyo mamla hiyo itoe miaka kwa range eg, wema umri wake ni kati ya 22 - 32 .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali hii ndiyo mana Tanzania watu wake ni masikini
 
Wasanii wa show-off wengi akili zao zimeganda!! Hauwezi kuwakuta wasanii wanaojielewa wakadanganya miaka!!
 
Back
Top Bottom